Jimbo la Ubungo tunajuta kumchagua Kubenea

Mbunge gani hatulii Bungeni yeye kila siku anaongoza migomo ya kutoka nje, Sisi kama wana Ubungo tunakukumbusha Mbunge wetu hiyo siyo kazi tuliyokutuma uende Dodoma ukaifanye.

Tumekutuma Bungeni uende ukatupambanie ili uweze kutatua kero zetu kama ya muda mrefu ya Maji safi na salama. Hivyo basi tunakuomba Mbunge wetu ubadilike acha siasa uchwara, pambania wananchi wako sio maslahi ya Mbowe.
Ww hukumchagua toa unafiki sis huku tuna enjoy maji safi ya visima kachimba mbunge ,juz akikuwa anatengeneza barabara ...ww huishi ubunge utakuwa unaishi mtera labda...
 
Sisi tulimchagua mbunge wetu wa ccm lkn juzi katukatisha tamaa kwa kuomba serikali ijenge kiwanda cha kutengeneza madera na khanga moko
[emoji13] [emoji13] [emoji13] khaa , madera tena ? lkn hana utofauti na milinga aliyesema mnara Wa askari pale posta awekwe baba tifa ...yaan ndani ya ccm hao ndo mashujaa wa michango ya maana ndani ya bunge la ccm..[emoji12] [emoji125] bila kumsahau kibajaji na Agnes masogange marwa
 
Mbunge gani hatulii Bungeni yeye kila siku anaongoza migomo ya kutoka nje, Sisi kama wana Ubungo tunakukumbusha Mbunge wetu hiyo siyo kazi tuliyokutuma uende Dodoma ukaifanye.

Tumekutuma Bungeni uende ukatupambanie ili uweze kutatua kero zetu kama ya muda mrefu ya Maji safi na salama. Hivyo basi tunakuomba Mbunge wetu ubadilike acha siasa uchwara, pambania wananchi wako sio maslahi ya Mbowe.
Ww hukumchagua toa unafiki sis huku tuna enjoy maji safi ya visima kachimba mbunge ,juz akikuwa anatengeneza barabara ...ww huishi ubunge utakuwa unaishi mtera labda...
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] khaa , madera tena ? lkn hana utofauti na milinga aliyesema mnara Wa askari pale posta awekwe baba tifa ...yaan ndani ya ccm hao ndo mashujaa wa michango ya maana ndani ya bunge la ccm..[emoji12] [emoji125] bila kumsahau kibajaji na Agnes masogange marwa
Umemsahau na yule aliye omba mirungi iruhusiwe
 
Ww hukumchagua toa unafiki sis huku tuna enjoy maji safi ya visima kachimba mbunge ,juz akikuwa anatengeneza barabara ...ww huishi ubunge utakuwa unaishi mtera labda...
Teeeeeeh teeeeeeeeeh, nasikia dodoma ule ugonjwa wa ajabu bado haujapata tiba
 
mimi sikumchagua niliachagua masaburi
huyo mnyika john john nakumbuka alianza kugombea kijana mdg sana mwaka 2005 enzi ya kikwete.. akapata 2010 lakini mpaka kesho kutwa kaacha ubungo kama ilivyo. akaja huyo beneakube hata kampeni hakupiga wakamchagua madai yao Chadema wana chinja
hatujamuona wala atuoni alichokifanya.. wala anachofanya
Kwa muda wa miaka 54 nini Kimefanyika hapo ubungo?
 
Mbunge gani hatulii Bungeni yeye kila siku anaongoza migomo ya kutoka nje, Sisi kama wana Ubungo tunakukumbusha Mbunge wetu hiyo siyo kazi tuliyokutuma uende Dodoma ukaifanye.

Tumekutuma Bungeni uende ukatupambanie ili uweze kutatua kero zetu kama ya muda mrefu ya Maji safi na salama. Hivyo basi tunakuomba Mbunge wetu ubadilike acha siasa uchwara, pambania wananchi wako sio maslahi ya Mbowe.
Sema unajuta mwenyewe kumpa kura yako ila mimi najivunia kuwa na mbunge kama Mh, Kubenea. Sijutii kumpa kura yangu. Demokrasia ni mnyororo mrefu kama ww ulizowea t shirt na kofia wakati wa kampeni., sisi tunataka demokrasia ya kudumu ambayo Ccm wanaiweka kwapani.
 
Hivi hata baada ya miaka 54 ya uhuru bado kuna sehemu haina maji?serikali inafanya kazi gani kwa muda huo wote?mlikuwa hamlipi kodi?
CHADEMA ina miaka 20 haina ata uwanja wa kujenga ofisi, katiba mbovu, uongozi wa kubaatisha
 
Mbunge gani hatulii Bungeni yeye kila siku anaongoza migomo ya kutoka nje, Sisi kama wana Ubungo tunakukumbusha Mbunge wetu hiyo siyo kazi tuliyokutuma uende Dodoma ukaifanye.

Tumekutuma Bungeni uende ukatupambanie ili uweze kutatua kero zetu kama ya muda mrefu ya Maji safi na salama. Hivyo basi tunakuomba Mbunge wetu ubadilike acha siasa uchwara, pambania wananchi wako sio maslahi ya Mbowe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dead
 
Kwa muda wa miaka 54 nini Kimefanyika hapo ubungo?
vimefanyika vingi tu
ila nyie Chadema sijui mlisema mtatuletea mabadiliko
mabadiliko gani sasa?
 
Jibu swali wacha kumbwelambwela hapa jamvini
 
Mkuu kila kona waliochagua machadema wanajuta.

Hamna mabadiliko yoyote ,hali inazidi kuwa mbaya.

Yalihubiri mabadiliko kudanganya wananchi
Halo mbaya taifa lote serikali imeshindwa kusaidia kujenga uchumi.
 
mimi sikumchagua niliachagua masaburi
huyo mnyika john john nakumbuka alianza kugombea kijana mdg sana mwaka 2005 enzi ya kikwete.. akapata 2010 lakini mpaka kesho kutwa kaacha ubungo kama ilivyo. akaja huyo beneakube hata kampeni hakupiga wakamchagua madai yao Chadema wana chinja
hatujamuona wala atuoni alichokifanya.. wala anachofanya
akili zako kama masaburi tu,
 
Mbunge gani hatulii Bungeni yeye kila siku anaongoza migomo ya kutoka nje, Sisi kama wana Ubungo tunakukumbusha Mbunge wetu hiyo siyo kazi tuliyokutuma uende Dodoma ukaifanye.

Tumekutuma Bungeni uende ukatupambanie ili uweze kutatua kero zetu kama ya muda mrefu ya Maji safi na salama. Hivyo basi tunakuomba Mbunge wetu ubadilike acha siasa uchwara, pambania wananchi wako sio maslahi ya Mbowe.
Hujielewi wewe
 
Huna cha kuxema umu ndani ka kimya cio unaropoka tu unajua kujuta wewe mwache kb afanye kaz
uandishi wa kichoko ...... umeshindwa kuandika "kusema" unaandika upuuzi..... hizo ni dalili za uchoko
 
Back
Top Bottom