bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,435
cha msingi bwana mnyika anatakiwa ajiandae kupambana na wizi wa kura tu, kwani wote tunajua uchaguzwi ulivyokua wa mizengwe hadi matokeo yakachelewa kutangazwa, mwishowe akatangazwa uyo keenja, nakumbuka that time nilikua pale udsm nakumbhuka percent kubwa pale chuo tulimpigia bwana mnyika ila matokeo yakatangazwa tofauti imagine jimbo la dar lilichelewa kutoa majibu kwa zaidi ya wiki baada ya mengine yote ya dar kutangazwa hadi ya mikoani yalikua yanakaribia kuisha ndio ubungo yakatangazwa so hila ndio za kupambana nazo mnyika! si kura!