Jimbo la Tundu Lissu lina hali mbaya, hakuna maendeleo yoyote

Jimbo la mheshimiwa mwenyew lina hali ngumu balaa amekua mbunge miaka ming na ni kwao hajafanya kitu had alipokua wazir ndo kajenga barabara kaweka na taa za kuongoza mikokoten ya kuvutwa na punda kawa presi ndo sasa kaamua kujenda airport ya kimataifa. So km alikua mbunge wa ccm na hakufanya chochote vip ukiwa mbunge wa upinzan na serikali hii yenye visasi vya c ndo utasahau ata kitanda cha nyumban kila siku sero km lijualikali kua mpinzan bongo inabid uwe na roho ya chuma joto likizid unabadilika tu rang sio shape.
 
Wakuu

Wiki hii nimepata kufika mkoani Singida nimetembelea wilaya ya Ikungi ambako ndio jimbo la mh Tundu lissu

Kiukweli hali ya jimbo hili inatisha saana na mbaya, Mbunge hafanani na jimbo lake
Shida ya maji imetanda kila kona ya kamji haka, lakini wanambunge tena machachali hasa

Hakuna ujenzi wa maabara katika shule za serikali kama zilivyoshule za maeneo mengine nchini kote, hii mpinga maendeleo Lissu aliwatangazia wananchi wake wasishiriki wala kutoa mchango, kielimu watoto wa hapa wanamazingira magumu

Hii ndio sijui ikae kundi gani, Hapa Ikungi Mh Tundu Lissu hana nyumba na haiishi hapa, akija huwa anafikia guest house ndiko huamkia huko na kujipanga kwaajili ya shughuli zake, kiufupi haiishi jimboni hapa
Full majungu...
 
Mbunge ni muwakikishi wa wananchi, serikali ndio inatakiwa kupeleka hivyo vitu. Kama serikali inagoma kwavile Lissu ni wa upinzani unategemea nini?
 
Kwahiyo jimboni kwake kusipokuwa na maendeleo adhabu yake kumtandika risasi? Poor you!
 
kUNA WATU WANALAZIMISHA KUTUKANWA MLETA MADA PUMBAFFFF ZAKO KWANI TUNDU LISSU NI SERIKALI YA CCM? JINGA KABISAA KILAZA MKUBWA NDO MAANA MNAPIGA WATU NA MAGONGO KULE KWA SPIKA UNAONA SAWA MAJUMBA YA TEMBE KULA VIWAVI SENGE KWELI WEWE
 
Wanabodi

Kwa wajuvi na wabobezi wa sheria, hili limekaaje?

Ningependa kufumbuliwa zaidi kuhusiana na mbunge kupoteza nafasi yake kwa kutokuwakilisha jimbo lake kwa muda zaidi ya miezi 3.

Kwa sasa jimbo la mh Tundu Lissu liko wazi kwa zaidi ya siku 90 ikiwa ni kinyume na hiki kipengele, jimbo halina mwakilishi kwa sasa.

Je Lissu hawezi kupoteza sifa za kuwa mbunge na uchaguzi mdogo ukaitishwa jimbo likapata mwakilishi wake ambaye kwa sasa hayupo?
 
Atabaki Mbunge coz, sababu inajitosheleza, kuwa ni mhanga wa shambulio tata, ambalo mpaka leo watuhumiwa hawajakamatwa, lakini kutwa kucha kukamata wapinzani.
 
Anaweza kupoteza Ubunge , Kwa sababu hata Manji Alikaa Lupango akapoteza udiwani na sababu yake ilikuwa inajulikana. Ni hayo tu kutoka kwa mimi Mwanasheria m'bobezi.
 
Unaweza kuta aliyeleta hoja hii ni mtunga sheria wetu anataka michango ya wanajf ili imsaidie kupeleka hoja binafsi bungeni ili bunge limfukuze Mh.Lissu.
 
Hebu tukumbushe Lema mlihakikisha anakaa mda gani magereza ili apoteze ubunge wake?Je mlifanikiwa?
Lema hajawahi kwa gerezani wewe acha uongo yofautisha MTU kuwa rumande na gerezani. Lema alikuwa rumande sio gerezani
 
Kwani alikosea? Mleta uzi hajui hata kazi za mbunge? Kazi ya mbunge sio kuleta maendeleo kwakuwa hana bajeti wala hakusanyi kodi. Kodi zinakusanywa na kutapanywa na huyo aliyejenga chato aidportt for what sijui
Maendeleo yanaletwa pia na wananchi, kwa kucjangia kifikra, kifedha na nguvi kazi.
 
kUNA WATU WANALAZIMISHA KUTUKANWA MLETA MADA PUMBAFFFF ZAKO KWANI TUNDU LISSU NI SERIKALI YA CCM? JINGA KABISAA KILAZA MKUBWA NDO MAANA MNAPIGA WATU NA MAGONGO KULE KWA SPIKA UNAONA SAWA MAJUMBA YA TEMBE KULA VIWAVI SENGE KWELI WEWE
Typical bavicha, kama mlivyoelekezwa!
MKISHINDWA HOJA, TUKANA.
 
Back
Top Bottom