The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Mleta thread naomba unieleze maana ya ccmB, poleni sana
ccmB=CUF,hiyo mbona hata mtoto wa darasa la tatu 'c' anajua?Mleta thread naomba unieleze maana ya ccmB, poleni sana
Mlikosea sana kutomweka mwita makabwe mwalim wangu wa Chem na maths
Mwita alikuwa Rais pale udsm. Lilikuwa ni kosa kubwa sana kutomchagua Mwita Mwikwabe wa Marwa.