Willy wewe una nyumba na shamba Mpendazoe ana kibanda cha magirini, ukiwa mwanasiasa lazima ujichunge sana na matamshi yanayoweza kuudhi jamii, unaikumbuka post hii hapa chini ulivyomwambia Mpendazoe, kumbuka mpinzani wako anaweza kuyatumia maneno hayo kwa watu wenye nyumba unazoziita vibanda wakakunyima kura kama kweli una nia ya kugombea jimbo la Segerea.- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
Umetokea wapi wewe?- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
katika hali ya kusikitisha na kushangaza, ccm wamejipanga vilivyo kupitia mahakama za kichama (gachacha) kubatilisha matokeo ya majimbo mawili chini ya makamanda mnyika na lissu na kusurrender jimbo la segerea, hii inakua kama kamchezo cha kekundukekundu kwa watz ili tuone cdm tumetendewa haki segerea kumbe wametumaliza ubungo na singida mashariki, shime watz tusiukubali mchezo huu.
Aisee 072 wewe ndiyo umeongea ukweli unaouma, William is not a politician material anabebwa na jina lake. Mwanasiasa anajulikana, haijalishi awe anahubiri ukweli au uongo lakini utamjua tu huyu ndiye na huyu siye. Siku Willy anajieleza bungeni ilionekana dhahiri kana kwamba kalazimishwa aseme au kakariri kitendo ambacho si afya sana kwa mwanasiasa. Mimi naweza ku bet kuwa inawezekana Willy na Lusinde wakiwekwa kwenye jukwaa moja la siasa Lusinde anaweza kushinda.Dodo wille,ingawa bonge, kiukweli ni kwamba wewe c mwanasiasa wa ukweli kama unavyodhani. Unachokitegemea kama ngazi ya kupandia kisiasa ni jina sirname yako "MALECELA" na unamtegemea mzee Malecela zaidi kuliko uwezo wako. Na watu kama wewe mpo wengi , mfano mzuri ni pa1 na Nape "NNAUYE" Adam "MALIMA Amani na ndugu yake "KARUME" Vita "KAWAWA" Na hata watoto wa mzee Mwinyi raisi mstaafu. Huna mvuto,labda hapa JF.
Aisee 072 wewe ndiyo umeongea ukweli unaouma, William is not a politician material anabebwa na jina lake. Mwanasiasa anajulikana, haijalishi awe anahubiri ukweli au uongo lakini utamjua tu huyu ndiye na huyu siye. Siku Willy anajieleza bungeni ilionekana dhahiri kana kwamba kalazimishwa aseme au kakariri kitendo ambacho si afya sana kwa mwanasiasa. Mimi naweza ku bet kuwa inawezekana Willy na Lusinde wakiwekwa kwenye jukwaa moja la siasa Lusinde anaweza kushinda.
- Ndio tofauti yetu hapa, mimi naongea nikiwa Segerea shambani kwangu, wewe unaonegelea nje ya jimbo na kujifanya unalijua sana jimbo kuliko mimi mkazi wake!
- Chairman Mao alisema: NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!
Willie @DSM City!