SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
willinsanity
Willy ni kwa nini wewe ni mbishi kiasi hiki? kuna Jiji lolote ambalo linakuwa na Mashamba? Mashamba yalikuwapo zamani baada ya kufutwa kwa sheria za vijiji Jijini Dar es salaam, hata kama una shamba kubwa kiasi gani ni lazima ulipime kuwa viwanja kama low Density plots na uzilipie Wizara ya ardhi, lakini ni kuwadanganya Members wa JF kusema eti umepimiwa Shamba!! huu ni uongo.- Mkuu melezo yanaonyesha ni mgeni huko Segerea, Mashamba yalipimwa siku nyingi sana kabla hatujapewa hati, I understand kwamba wewe ni kiongozi wa level flani hivi huko kata, lakini kwangu it does not matter at all nikiamua kugombea I could careless cause nalijua jimbo kuliko unavyofikiri.
Willy ni kwa nini wewe ni mbishi kiasi hiki?
WAFU: Hawa ni maiti wako Hai ila ni mazoba, hata wakiambiwa na CCM walipie PUMZI na USINGIZI watalipia ingawa hawana kitu. Wanakubaliana na kila hali hawajui kupinga wala kukataa, hawana tofauti na mabehewa ya treni kinakokwenda kichwa ndiko wanakokwenda wao.
- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
I see!!....very Interestng, na wewe unapenda kuvuna usichopanda?
Niko Segerea Mkuu wangu. Jirani kabisa na Mahanga.
Karibu tu tutapambana maana nami pia nafikiria kugombea kupitia CHADEMA.
Muda ukifika nitatoa ID yangu ya kweli na najua no one can stop me maana sifa ninazo, uwezo ninao na nimeudhihirisha jimboni na bado ushawishi ninao kuliko maelezo.
Pamoja sana. Ndo Demokrasia hiyo!
- Ha! ha! ha! Classic, Beethhoven!
Willie @DSM City!
acha uhuni wako wa kiniga, ni jimbo lako umemilikishwa na nani? kwanza umejiandikisha kupiga kura kweli?- Kwa maneno mengine ni Jimbo langu, I grew up there na infact nina shamba na nyumba kule, I pray for my good friend Mahanga to survive, otherwise it sound interesting, yaani iwapo jimbo litakuwa open!
William @DSM City!
Nikiwa kama mkazi wa Jimbo la Segerea na niliyeshi kwa zaidi ya miaka 30 katika jimbo hili tangu Wilaya ya Ilala ikiwa ndiyo jimbo lenyewe na baadae likazaliwa Jimbo la Ukonga ambalo nalo sasa ndio limezaa jimbo la Segerea.
Willy usikubali kuingizwa Mkenge eti uje kuchukuwa fomu kwenye kura za maoni za CCM kwenye jimbo hili, you will regreat note my word.
CCM haiwezi kushinda katika jimbo la Segerea zaidi ya kata moja tu ya Kinyerezi ambapo kwa ukweli wa nafsi kuna kazi imefanyika na inaonekana, lakini si nje ya kata hiyo.
Hakuna wana CCM wanafki kama hawa wa jimbo la Segerea, hawasomeki na wala hawaaminiki ni Makongoro Mahanga peke yake ndiyo aliyeza kuzimudu fitna za wanaCCM wa jimbo hili.
Rupia alipokuwa mbunge wetu alikuwa ni mtu mmoja safi sana lakini aliundiwa zengwe na waswahili eti kwamba alisema ni pesa zake ndio zilimchaguwa.
Nakuonya tena kama una plan ya kugombea Segerea sahau hicho kitu, maana hutoweza kupita ndani ya CCM na hata ukiweza kupita huwezi kushinda siyo wewe tu hata aje mwana CCM gani, tuna hasira kubwa ya maamuzi yetu 2010 kudharauliwa na NEC.
Unajisahau kweli jinsi ya kutumia Multiple IDz@ NYC City
@dodoma City
na sasa @ DSM City
usijadanganye mkuu, utaangukia pua na utakua hauna ubavu wa kwenda tena kwenu Mtera, bora utulie usubiri 2015, ukamng'oe Lusinde
Duh!
Hebu njo hapa Toto Tundu nikupe ramani za Segedance.
Mahanga aliwauzi watu wa madizini na kitunda akashawishi Jimbo la ukonga ligawanywe.
Sasa limegawanywa hata Huku Segerea hatumtaki.
Na kwa kumsaidia huyu Baharia tu ni mimi ni mmoja wa watu waliokuwa nje ya nchi tuliorudi kuja kupiga kura.
Segerea ina watu makini na asidhani kukaa New York itamsaidia.
Watu tunashida ya maji unaleta utozi
Mkuu nakusoma sana. Niko huku Ugombolwa aka Segerea kwa Wazungu.
Nachangamsha baraza tu Mkuu, ila jimbo letu lina changamoto. Hatuna maji ya uhakika, madaraja ya Kinyerezi na Seminar ya shida tu, barabara za kitaani hakuna mkakati japo baadhi ya wakazi tunazi-maintain, shule ya Sekondari sijaona, Zahanati ndo ileeee tu ya pale tabata . . .
Nadhani tunahitaji mtu makini anayeijua Segerea na watu wake na matatizo yao.
Matola taratibu kijana, punguza munkari hatuko uwanja wa vita hapa.
I see!!....very Interestng, na wewe unapenda kuvuna usichopanda?