Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Lol!...- Mzuka wangu unakutesa sana maana the tizama unsema mwenyewe kwamba imebidi utumie Id ya uongo, kuwa kwenye my friends list ya Facebook, mimi will never do that angalau unajisema vizuri kwamba hulali bila kufuatilia maisha yangu imebidi utumie majina ya bandia kule FB, that is wasup maaaan!
Willie @DSM City!
Teh teh.....Aisee...kumbe nimekosa uhondo hivi!!! Patamu hapa....
Lol!...
Facebook natumia my Real name......Sidhani kama kila rafiki yako wa Facebok anafuatilia maisha yako..... Balantanda ni my Real name(A middle name).....Sema Faebook natumia la kwanza na la mwisho....ni kama ilivyo
Binafsi siwezi kuyafuatilia maisha yako wewe W.J. Malecela...Nikufuatilie kwa lipi hasa mkuu?...Ina maana kukueleza ukweli kwamba HAUNA SIFA za kuwa mwanasiasa ni kufuatilia maisha yako?.....Kukueleza kwamba unatapatapa na kutaka kuitumia JF kukupandisha na kujijenga kisiasa(kuwa mwanasiasa) ni kufuatilia maisha yako?.....Mbona wenzako wengi tu ambao wanagombea na wana mpango wa kugombea nafasi yoyote huwa hawaji hapa JF na kuanza kujipaisha kama unavyofanya wewe?,ama ndio usahihi wa kauli kwamba 'Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza'?.....Hivi mtu kuwa plan B ya CCM anahitaji kujitangaza?......
Ukweli unabaki pale pale kwamba wewe si MWANASIASA kama unavyodhani na hata huo upublic figure unaoufikiria unao labda ni wa JF tu na si kama unavyojidhania....Labda Cigiwiyemisi ni public figure.....
ivi unaweza kuniambia ni kwa nini mzee Cigwiyemisi alishindwa kwa aibu kura za maoni na Kibajaji Livingstone Lusinde?
mkuu hapa utapigika mpaka utakoma,utaona bongo haifai soon,chezea bongo wewe
Teh teh.....
Karibu Nkwingwa...
Tupatie reson za kuwa open soon na kufikiria plan B na hiyn plan B ndo ipi?
- Yale yale tu hatred, wfivu, chuki na hasira za maisha huko majuu
pole sana mwendo wangu ni ule ule haubadiliki kwa sababu ya wewe kuwa na hasira za kuuuza maduka huko majuu sio kosa langu!
William, huchanganyi madesa kweli? Unajua kwa uhakika kuwa Balantanda yuko majuu au unakisia tu?
- Could careless yupo wapi cause so far hanizuiii kufanya mambo ya maisha yangu, ninamuonea huruma sana maana kivuli changu kinamtesa sana, otherwise leo nilikuwa UDSM, it was great kukutana na supporters pamoja na fans!
- Kama nilivyosema sisi tupo kwenye kufanya kweli, so hatuogopi FEAR!
Willie @DSM City!
Maneni miiiiiiiiiiingi.....- Yale yale tu hatred, wfivu, chuki na hasira za maisha huko majuu, ha! ha! ha! sure jina langu huku bongo ni kubwa stricly kwa sababu ya JF, sijaasema ninataka kugombea anything isipokuwa nimeuliza plan B ya CCM incase jimbo la Segerea ambako ni home kwangu, likibaki wazi!
- Again ninakuommba wewe na wengine wengi humu msinifundishe siasa za uoga na ufisi wa kuogopa kusema, hapana nikitaka anything au nisichokitaka ninasema hapa JF bila kuogopa mtu, wewe endelea kunivizia huko Facebook na majina ya bandia na hapa kuja kulia lia kuhusu umaarufu wangu, pole sana mwendo wangu ni ule ule haubadiliki kwa sababu ya wewe kuwa na hasira za kuuuza maduka huko majuu sio kosa langu!
- Otherwise, KUMBUKA MTI USIO NA MATUNDA MAZURI HUWA HAURUSHIWI MAWE, ISIPOKUWA ULE TU WENYE MATUNDA SUPER! ha! ha! ha ha!
Willie @DSM City!
Uwaambie hao jamaa wa UDSM wakufundishe na Kiingereza sasa.....- Could careless yupo wapi cause so far hanizuiii kufanya mambo ya maisha yangu, ninamuonea huruma sana maana kivuli changu kinamtesa sana, otherwise leo nilikuwa UDSM, it was great kukutana na supporters pamoja na fans!
- Kama nilivyosema sisi tupo kwenye kufanya kweli, so hatuogopi FEAR!
Willie @DSM City!
Maneni miiiiiiiiiiingi.....
Wewe sio MWANASIASA bana.....Wewe ni mganga njaa tu ndo maana unahangaika mara EALA mara Segerea.....
Ukweli ndio huo,japo unauma.......Siwezi kuwa na hatred, wivu, chuki na hasira kwa FAILURE wa aina yako mkuu....Umefail katika kila kitu, umefail katika maisha,familia,siasa n.k......what next?
Yaani kama unajifananisha na mti wa matunda labda huo mti utakuwa wa matunda yanayoitwa NGWELU......
Uwaambie hao jamaa wa UDSM wakufundishe na Kiingereza sasa.....
Siwezi kukiogopa Kivuli cha FAILURE na KILAZA kamawewe bana.....
Maneni miiiiiiiiiiingi.....
Wewe sio MWANASIASA bana.....Wewe ni mganga njaa tu ndo maana unahangaika mara EALA mara Segerea.....
Ukweli ndio huo,japo unauma.......Siwezi kuwa na hatred, wivu, chuki na hasira kwa FAILURE wa aina yako mkuu....Umefail katika kila kitu, umefail katika maisha,familia,siasa n.k......what next?
Yaani kama unajifananisha na mti wa matunda labda huo mti utakuwa wa matunda yanayoitwa NGWELU......
Teh teh.........- Zinaitwa kelele za mlango hujawahi kunizuia anything, mwendo wangu ni mdundo sana mkuu, leo nilikuwa UDSM kesho chuo cha Diplomasia Kurasini, wewe kaaa kupiga kelele hapa mimi mwendo ni mdundo ninaenda kwa mbele!
- Segerea ni home nina shamba na nyumba, Mtera ni home original, Dodoma mjini ni home ndipo ninapoishi zaidi, so nafasi ni nyingi sana, karibu sana kwenye mbio!
By the way; Keshokutwa ni masafa ya IFM!
Willie @DSM City!
- Zinaitwa kelele za mlango hujawahi kunizuia anything, mwendo wangu ni mdundo sana mkuu, leo nilikuwa UDSM kesho chuo cha Diplomasia Kurasini, wewe kaaa kupiga kelele hapa mimi mwendo ni mdundo ninaenda kwa mbele!
- Segerea ni home nina shamba na nyumba, Mtera ni home original, Dodoma mjini ni home ndipo ninapoishi zaidi, so nafasi ni nyingi sana, karibu sana kwenye mbio!
By the way; Keshokutwa ni masafa ya IFM!
Willie @DSM City!
- Mkuu kumbe una tabia ya kupiga mke? Ni kile kichaa cha familia nini mkuu?
ES!
Uwaambie hao jamaa wa UDSM wakufundishe na Kiingereza sasa.....
Siwezi kukiogopa Kivuli cha FAILURE na KILAZA kamawewe bana.....
Doh......- Kiingereza nimeongea Bungeni, kimeeleweka ni afadhali kutojua english kuliko kupiga mke!, vilaza ni wale wanaolazwa jela kwa kupioga mke, mimi sijwahi masiha yangu kufika huko kwa kupiga mke, ule ndio ukilaza!
- Infact kilaza ni mwanaume anayetunzwa na mke, halafu anaenda kumpiga na kuswekwa jela as you did ule ndio UKILAZA!
Willie @DSM City!
William, huchanganyi madesa kweli? Unajua kwa uhakika kuwa Balantanda yuko majuu au unakisia tu?