Jimbo la MTAMA UKAWA ushindi wa mapema mkifanya hivi;

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
CUF na CHADEMA wakae wazungumze wamwachie jimbo yule mpinzani wa NAPE aliyetokea CCM na Kuhamia CHADEMA bhasi.Kakuna kiingine zaidi ya hilo kama UKAWA mnataka kushinda! Mabadiliko kwanza mengine baadae. Huyu jamaa ndiye chaguo pekee la wanamtama hakuna mwingine zaidi hapo.

Asubuhi njema.
 
Good idea ila naona kama ni kurudisha mchakato nyuma tena
 
Hata angegombea lowasa kwa Nape angeangukia pua mchana kweupeee...!!

Una taarifa kua NAPE alishashindwa kabisa na kua mshindi wa pili mambo yakageuzwa? Unafamu kua Nape alihojiwa na TAKUKURU masaa 5?
No evidence no right to speak.
 
CUF na CHADEMA wakae wazungumze wamwachie jimbo yule mpinzani wa NAPE aliyetokea CCM na Kuhamia CHADEMA bhasi.Kakuna kiingine zaidi ya hilo kama UKAWA mnataka kushinda! Mabadiliko kwanza mengine baadae. Huyu jamaa ndiye chaguo pekee la wanamtama hakuna mwingine zaidi hapo.

Asubuhi njema.

uliwahi kufika mtama??ndio hayo tusioyatak.Watu wameanza harakati siku nyingi wamezatiti leo aje mtu aachiwe kirahisi.Huyo jamaa na nape sawa sawa tu
 
Mkuu nilikua huko taktibani mwezi mzima, na mchakato mzima umemalizika nikiwa huko.
 
Huyo ahamie Ukawa kupitia CUF ili kulikomboa jimbo lake la Mtama akishirikiana na mgombea aliyepitishwa. Awe meneja wa kampeni wa Ukawa/CUF.
 
NINGEFURAHI SANA ENDAPO S/M
ANGEHAMIA CUF KUEPUSHA MIGOGORO ISIYO NA TIJA!
sisi wana mtama tunaifahamu mtama vizuriiiii!!!
 
Nape hata kufikia MTAMA anafikia Guest!Suleiman Mathew Luhongo akija CUF atamuondoa Nape saa 2 asubuhi!
 
CUF na CHADEMA wakae wazungumze wamwachie jimbo yule mpinzani wa NAPE aliyetokea CCM na Kuhamia CHADEMA bhasi.Kakuna kiingine zaidi ya hilo kama UKAWA mnataka kushinda! Mabadiliko kwanza mengine baadae. Huyu jamaa ndiye chaguo pekee la wanamtama hakuna mwingine zaidi hapo.

Asubuhi njema.

Mie naona sio fair kuwapokea hawa wanaCCM na kuwapa nafasi za kugombea wakati kuna wanachama waaminifu wamekitetea chama tangu mda mrefu. Kuwanyima fursa sio haki kwao na hawa wakuja wanaletaga shida kama za kina Shibuda.
 
Nape alishinda kwa zaidi ya kura 9000. Huyo mpinzani wake alishinda kwa kura 5000. Kimahesabu hapo Nape ni mshindi. Tuseme huyo jamaa kahamia CHADEMA, waliompa hizo kura 5000 ni wana CCM na ai wana CHADEMA, hapo tayari huyo atakuwa amepoteza kiwango kikubwa cha kuungwa mkono. Ni kama haya ya Lowasa. Lowasa ataaibika sana mwaka huu kwa kujidanganya kuwa anaungwa mkono na wana CCM wengi kupe walikuwa wanamuunga mkono akiwa CCM na si upinzani
 
Mie naona sio fair kuwapokea hawa wanaCCM na kuwapa nafasi za kugombea wakati kuna wanachama waaminifu wamekitetea chama tangu mda mrefu. Kuwanyima fursa sio haki kwao na hawa wakuja wanaletaga shida kama za kina Shibuda.

Akipenda aje bila masharti kusaidia kampeni ya Ukawa, sio agombee yeye. Mgombe tayari yupo wa CUF.
 
Mie naona sio fair kuwapokea hawa wanaCCM na kuwapa nafasi za kugombea wakati kuna wanachama waaminifu wamekitetea chama tangu mda mrefu. Kuwanyima fursa sio haki kwao na hawa wakuja wanaletaga shida kama za kina Shibuda.
Kwikwikwikwi. Kwa hiyo unasemaje uteuzi wa Lowasa?
 
Mie naona sio fair kuwapokea hawa wanaCCM na kuwapa nafasi za kugombea wakati kuna wanachama waaminifu wamekitetea chama tangu mda mrefu. Kuwanyima fursa sio haki kwao na hawa wakuja wanaletaga shida kama za kina Shibuda.

KWA SASA NI KUANGALIA YULE TU! AMBAYE ANAUWEZO WA KUSHINDA NA ANAYEKUBALIKA!
HAKUNA MUDA WA **MAJARIBIO**
ii
 
CUF na CHADEMA wakae wazungumze wamwachie jimbo yule mpinzani wa NAPE aliyetokea CCM na Kuhamia CHADEMA bhasi.Kakuna kiingine zaidi ya hilo kama UKAWA mnataka kushinda! Mabadiliko kwanza mengine baadae. Huyu jamaa ndiye chaguo pekee la wanamtama hakuna mwingine zaidi hapo.

Asubuhi njema.

Umehamia Ukawa kijinga jinga wakati muda wa uteuzi wa wagombea umeshapita sasa unaamua kutumia jina la uongo kujipigia kampeni jamii forums. Mi nakushauri kama unataka kugombea tafuta chama ambacho hakina mgombea Mtama basi watakupitisha tu bila kujali. Vyama vipo Vingi tu kuna TLP, UPDP, CHAUSTA, DEMOKRASIA MAKINI, UMD na DP
 
Back
Top Bottom