Jimbo la Monduli katika ubora wake

Jimbo la Monduli katika ubora wake

hapana ayo mawazo yako kwani kafanya mengi sana mazuri katika mazingira na jamii yetu kwa ujumla aswa jimbo hili la monduli kama ni fisadi n imana tumefisadi wote tatizo la ccm n mfumo tu hata uwe msafi utachafuliwa na wachafu wengi ndo wakati wangu hatua nimepiga na nitapiga mungu amenipa akila na uwezo wa kufikili na amini nilipo na ninaye mChagua ni sahihi kwangu hapa ndo sahii mabadiliko jambo la msingi sana kileta maendeleo..
Sio kosa lako inaonesha wewe ni muumini mzuri wa kuaminishwa!!!
Walianza kwa kumuita FISADI lakini leo wako naye wanashindwa kuzungumza neno UFISADI wanasema mfumo ili kuficha mtaji wa neo lao ambao naamini hata kushuka toka angani toka waanze kulizungumza katika majukwaa yao halijashuka!!!
Endelea kuaminishwa na ikifika miaka mitano utaambiwa haikuwa mfumo bali...............na wewe utawaelewa tu kwa vile ni muumini mzuri wa kuaminishwa na kwa ushauri wangu fikiria na sikiliza mwenye nia ya dhati!!!
Mimi nasema NO SITAKI MABADILIKO YA UONGO!!!
 
haki na usawa

Sawa tulimtuhum fisad ninyi kama watawala mlichukua hatua gan?

Mbona hamkumfunga kama kina mramba?

Au kisa alitolewa kafara kulinda chama chenu maana muhusika ni jk na serikali ingeanguka turud uchaguz upya?

shame on you
 
Last edited by a moderator:
Acha kutuletea propaganda hapa bhana! wewe mwenyewe unataka tuamini ulichotuandikia hapa, hakuna asiyeijua TZ, tupatie kura yako halafu baada ya miaka mitano rudi utuulize kama mabadiriko yapo au hamna. VIVA UKAWA.
 
kumbuka hii ni nchi sio sehemu majaribio kumbuka timebeba mioyo ya watanzania kibao ila me na amini kuwa nilipo ndio sehemu sahihii kama kijana nataka mabadiliko...#
 
Sio kosa lako inaonesha wewe ni muumini mzuri wa kuaminishwa!!!
Walianza kwa kumuita FISADI lakini leo wako naye wanashindwa kuzungumza neno UFISADI wanasema mfumo ili kuficha mtaji wa neo lao ambao naamini hata kushuka toka angani toka waanze kulizungumza katika majukwaa yao halijashuka!!!
Endelea kuaminishwa na ikifika miaka mitano utaambiwa haikuwa mfumo bali...............na wewe utawaelewa tu kwa vile ni muumini mzuri wa kuaminishwa na kwa ushauri wangu fikiria na sikiliza mwenye nia ya dhati!!!
Mimi nasema NO SITAKI MABADILIKO YA UONGO!!!

Mabadiliko ya kweli ndo yapi hayo..#
 
Mabadiliko ya kweli ndo yapi hayo..#

Unatakiwa uwasikilize wote wanaongelea neno mabadiliko ndo utapata jibu lakini sio mabadiliko ya kuelekezwa kuwa huku ndo kwenye mabadiliko ya kweli!!! Angalia na sikiliza hoja za watu katika vijiwe, usiwe na hasira, usiwe na maamuzi kabla, usibishane na asiye taka kuulizwa, usilazimishwe kufuata mawazo ya mtu na mwisho chukua hatua kwa yale uloyasikia na wewe kutafakari maana kura yako ni maisha yako, amani yako, usalama wako na familia yako, epuka wenye hoja za jaziba maana utaisumbua familia yako au ndugu zako na hutapata jibu la badiliko la kweli!!!!
 
Jamaa umeandika kwa kirefu kweli. Hebu fanya utaratibu ui copy hii habari yako ili ikifika muda muafaka tukuulize maswali.
 
Unatakiwa uwasikilize wote wanaongelea neno mabadiliko ndo utapata jibu lakini sio mabadiliko ya kuelekezwa kuwa huku ndo kwenye mabadiliko ya kweli!!! Angalia na sikiliza hoja za watu katika vijiwe, usiwe na hasira, usiwe na maamuzi kabla, usibishane na asiye taka kuulizwa, usilazimishwe kufuata mawazo ya mtu na mwisho chukua hatua kwa yale uloyasikia na wewe kutafakari maana kura yako ni maisha yako, amani yako, usalama wako na familia yako, epuka wenye hoja za jaziba maana utaisumbua familia yako au ndugu zako na hutapata jibu la badiliko la kweli!!!!
Ayo yote nimesha yafanya sitajutia wala jilaumu acha ipote tu kura yangu na amini kuwa nilipo ndio sehemu sahihi na kila sababu za kufanya mabadiliko
Nilikuwepo na nitakuwepo na sababu za dhati na mapenzi ya dhati daima ntasimama siku moja ndoto yangu ya maisha bora itatimia kwa faida yangu na kizazi changu na chako.....#mimi sio wa mafuriko tambua hilo ndugu
 
haki na usawa

Sawa tulimtuhum fisad ninyi kama watawala mlichukua hatua gan?

Mbona hamkumfunga kama kina mramba?

Au kisa alitolewa kafara kulinda chama chenu maana muhusika ni jk na serikali ingeanguka turud uchaguz upya?

shame on you

Sio kosa lako utakuja kujua baada ya uchaguzi kupita!!! Maana akili ya kuaminishwa ni kazi kuelewa ya kufikiri na kutafakari!!!
Kama anajulikana hivyo na nyinyi mlisema sana kupitia chama anachogombea je hamkujua ukweli hapo mwanzo??? Kujifanya hamkujua na hali mlikuwa mnapata taarifa zote za siri za serikali ni unafiki!!! Ukweli utabaki hapo hapo wananchi hawataki mabadiliko yenye ajenda ya siri/ulaghai!!! Ikulu mtaisikia tu na jipangeni kulalamika tu maana ni kawaida yenu!!!
Ushahidi wa ushindi upo na uko wazi!!! Angalia mikutano alofanya na linganisha na mgombea wa chama tawala!!! Je kawafikia wananchi masikini wa vijijini? Je amewatembelea wenye vijumba vya nyasi??? Kama anachukia umasikini na hao masikini hawamuoni hata kipindi hiki cha kuomba kura na je akipata ataenda?
WANANCHI HAWADANGANYIKI KWA VUMBI LA MABADILIKO YA ULAGHAI NA UNAFIKI ZIKIONGOZWA NA KAULI ZA KINAFIKI!!!!
 
Back
Top Bottom