GE2025 Jimbo la Mchinga watu walizuiwa kuchukua fomu za ubunge, ili Salma Kikwete apite bila kupigwa. Ukweli wote huu hapa!

GE2025 Jimbo la Mchinga watu walizuiwa kuchukua fomu za ubunge, ili Salma Kikwete apite bila kupigwa. Ukweli wote huu hapa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Nimemsikiliza huyu mzee ameongea kwa uchungu sana na ameonyesha namna nchi inavyoendeshwa hovyo sana.

Anaeleza namna ambavyo mipango ilivyopangwa Mke wa Kikwete Salma Kikwete uchaguzi wa mwaka huu 2025 katika jimbo la Mchinga apite bila kupigwa kwenye kura za maoni na ndicho kilichotokea.

Soma Pia: Salma Kikwete achukua barua ya utambulisho CCM, kuelekea INEC kuchukua fomu ya ubunge Mchinga

Anaendelea kusema kwamba mwaka 2020 kuna machawa walimfuata Mzee Kikwete nyumbani kwake wakimuomba mkewe agombe tena, kwahiyo kauli hiyo ikatoka na agizo kwamba hatoruhusiwa mtu mwingine kuchukua fomu.

Lakini katika jimbo hilo Salma Kikwete hakuna maendeleo yoyote aliyoyafanya. Mzee akamalizia akisema Isingekuwa katazo hilo basi yeye angekuwa mbunge

 
Mama wa mchinga yawezekana kwenye mgao wa mafao hayupo
 
Back
Top Bottom