Jimbo la Magu, Mwanza

Jimbo la Magu, Mwanza

Wasukuma huwa wanapenda sana kujidharaulisha... sijui kwa nini? Rasilimali zilizoko Sukumaland ni nyingi mno! zinaweza kuifanya Tanzania kufanana kabisa na nchi zilizoendelea LAKINI tatizo kubwa ni kwa viongozi na machifu wao akina Chenge wenye kuona fahari kupeleka mabilioni nje na kuwaacha ndugu zao wakifa njaa... This time mjitahidi kuwachagua viongozi miongoni mwenu potelea mbali hata kama hawajasoma...
 
Huyu jamaa ni mkia wa mbuzi,kashindwa hata kutoa maji Nyamhongoro hadi Kisesa,huyu ni gamba,ila kushindwa kwake,cyo kushindwa kwa CCM,huyu jamaa ni moja ya wabunge wa CCM NISIOWAKUBALI kabisa.

Utaratibu wa bunge ni kwamba,waziri na manaibu mawaziri hawaruhusiwi kuuliza maswali,sasa huyu jamaa siyo waziri wala naibu,ila toka avuliwe unaibu waziri wa fedha,huwa hachangii chochote,nata huwa simuoni,ukute hata bungeni huwa haendi

Umesema kweli. Mi nilidhani pengine huwa anachangia hoja kwa maandishi,lakin wapi.sijawah kuskia akitajwa na waziri yeyote. Bungeni ndio kabisaa,hata sura yake nimeanza kuisahau.wana magu chagueni mabadiliko.
 
Wabunge wa ccm utawajua hata changia yao bungeni utawajua 2. Magu walifanya makosa kuchagua mburura lakn ngudu walifanya makosa zaidi
 
Yaan Magu toka afe Malaki Lupondije,ni kama alipalaani,waliofata wote ziro,akiwemo Cheyo,ambae ndiye aliharibu balaa,na akafatiwa na huyu jamaa,siyo siri,Limbu hana msaada wowote pale Magu
 
Wabunge wa ccm utawajua hata changia yao bungeni utawajua 2. Magu walifanya makosa kuchagua mburura lakn ngudu walifanya makosa zaidi

kaka tema cheche za ngudu kunani tena?ni yale yale au?
 
Aliyeitendea haki MAGU ni marehem NG'WANAMABAWA,R.I.P NDO mbunge wa kwanza pamoja na akina ERNEST KISUMO NYANDA, angalau walijitahidi.
 
TAARIFA KWA UMMA WA MAGU;

Tujiulize mbunge wetu mh.Dr. Limbu kaenda bungeni kutuwakirisha kua hata sisi jimbo letu haliko wazi!au ameenda bungeni kutusemea matatizo yetu kwa serikali ili itutatulie, Nimeaza na maswali manake kunamatatizo mengi sana na ahadi zake hakuna hata moja aliyotekeleza mfano alisema atapeleka umeme toka magu mjini hadi mahaha kupitia Ng'haya,Kabila,Shishani mpaka Mahaha lakin hata dlili hakuna,ataleta maji toka Ziwa Victoria na kusambaza kwenye vijiji mpaka sasa hakuna,atachangia jitihada ya ujenzi wa secondary Mahaha,
hajatoa mchango wowote,ujenzi wa barabara ktk kiwango cha ubora,lakini hajuna,ataboresha hospital ya Magu Mjini,Kabila na Mahaha,hiyo ilikua ni danganya toto ya watu wa Magu,ataboresha soko na minada ya Magu Mjini,Ng'haya Kabila na Maha lakini hilo limekua ndoto za mchana.

JE, WANAINCHI WEZANGU WAZALENDO MKO TAYARI KUIPOKEA HIYO TAARIFA??Kwa mawazo yangu huyu hafai hata kidogo kwa mbunge wetu tena.
Matatizo ya Magu ni zaidi ya unavyodhani, haya ni kwa uchache wake:
1. Asilimia 80% ya vijiji vya Magu hawana maji safi: wakati wabunge wengine wakipigania maji majimboni kwao yeye alikuwa ana smile!!!! Maji ya malambo ndio yanayotumika.
2. Kutokana na kutokuwa na maji safi, Afya za wananchi ni hatari tu, hivyo kutokana na umasikini wamekimbilia kwenye miti shamba na waganga wa kienyeji. Kumbe shida ni maji machafu wanayokunywa nk
3. Hospitali ya wilaya haiwezi hata kutunza maiti??????? Wajawazito wengi wanajifungulia nyumbani ambayo ni hatari. Wilaya hii ina rate kubwa sana ya Vifo vya mama na mtoto.
4. Miundombinu ni balaa, kulikuwa na barabara kwenda Musoma kupitia Lubugu, ilikuwa inatumiwa sana na malori, sasa tunavyoongea imekwisha kabisa haipitiki. Barabara hii ingeweza kusaidia uchumi wa vijiji jirani n.k
5. In short miundo mbinu ya barabara ni zeroooo!!!!!
6. Alama za kufaulu ktk wilaya hii zinazidi kuporomoka na Mbunge wala hajali!!!!
7. Umeme umebaki hadithi ya alfulelaulela; zaidi ya 90% ya vijiji vya Magu hivina umeme mh!
8. N.k

RAI
CCM ni chama sikivu, naamini watayafanyia kazi haya kabla haijawa too late.

Queen Esther
 
QUEEN ESTHER#
hongera sana hoja zako naziunga mkono 100%.
 
Huyu mbunge hajui hata kusema kasungura kadogo tukagawane,kama angelijua siku moja wangelimhulumia wakampa hata kamkia akakaleta jimboni kwake,laki kivhwani empty ipo elimu ya darasani tu,na inanipa wasisi hawa wenye degree za kuunga unga wanaanza kunipa mashaka.
HA HA HA HA HA HA !!!!! KUMBE NA YEYE ANACHANGIA ALISHAJIUNGA KWA JINA TOFAUTI KAMA ASIPO JIBU NASEMA JINA ANALOTUMIA NIMELIPATA NA YEYE ANAUNGA MKONO HOJA ZETU.
 
Walai tena Dr.limbu namfaha si kiundani sana ,swala la elim sana nafaham,na mwabulenga nyumbani kwa napafaham,hadi dogo wake godi namfaham fika.sema tu elimu hiyo iko kwenye akili za .....haiwezekani ukawa na elimu na ukafanya mambo ya ajabu kama hayo,ama kweli unaweza kuwa na elimu bila hekima na busara,kama ccm ni kiatu ambacho hakimfai ya nini kung'ang'ania??hata wakati wa kwanza 1995,alikuja akiwa NCCR-MAGEUZI; Mafisadi wakamrubuni akahamia huko,mwache 2015 tunampiga chini.
hapo mkuu naona umedanganya huyu jamaa anatokea Nyang'hanga kitogoji cha nyamigumo na si kijiji ulichotaja mimi namfahamu sana hata wazazi wake nilishawahi onana nao miaka 10 iliyopita. kikubwa huyu jamaa anatakiwa apigwe chini hana lolote
 
Aliyeitendea haki MAGU ni marehem NG'WANAMABAWA,R.I.P NDO mbunge wa kwanza pamoja na akina ERNEST KISUMO NYANDA, angalau walijitahidi.
huyu jaama kafanya nini cha maana hata kwao mwabuduli kuna nini japo alikuwa waziri wa kwa muda mrefu? kwa kifupi wabunge kwa wilaya ya magu kwa Ng'wanamabawa sawa ila sio huyi kilazi aliyetudidimiza pamoja na huyu ndugu yake hawana jipya nikujisifu tu na ujinga ujinga
 
Unaweza ukawa na degree hata 12 kichwani lakini zikawa hazina maana yoyote kwa jamii inayokuzunguka.Ndugu FESTUS LIMBU kipindi anagombea ubunge kwa mara ya kwanza pale jimboni MAGU watu walikuwa na matumaini makubwa sana kwake mpaka wakampa na ukamanda wa jimbo hilo kipindi MASHISHANGA ni mkuu wa mkoa wa MWANZA.Lakini leo hii mheshimiwa kalitegea kisogo jimbo na hataki hata kwenda kusikiliza kero zao.Binafsi nahisi ameamua kulitoa sadaka hilo jimbo kwa CHADEMA.Kwa ufupi Limbu hataki kusikia kitu CCM Pale MAGU.
Jimbo ameshalikabizisha kwa members wa CHADEMA ndo wanaofanya kazi kama jimbo liko chini yao.
 
upepo wa kimbunga wa m4c inakuja kumpitia na atashtuka upepo upo ukerewe au uganda maskini rip ccm
 
TAARIFA KWA UMMA WA MAGU;

Tujiulize mbunge wetu mh.Dr. Limbu kaenda bungeni kutuwakirisha kua hata sisi jimbo letu haliko wazi!au ameenda bungeni kutusemea matatizo yetu kwa serikali ili itutatulie, Nimeaza na maswali manake kunamatatizo mengi sana na ahadi zake hakuna hata moja aliyotekeleza mfano alisema atapeleka umeme toka magu mjini hadi mahaha kupitia Ng'haya,Kabila,Shishani mpaka Mahaha lakin hata dlili hakuna,ataleta maji toka Ziwa Victoria na kusambaza kwenye vijiji mpaka sasa hakuna,atachangia jitihada ya ujenzi wa secondary Mahaha,
hajatoa mchango wowote,ujenzi wa barabara ktk kiwango cha ubora,lakini hajuna,ataboresha hospital ya Magu Mjini,Kabila na Mahaha,hiyo ilikua ni danganya toto ya watu wa Magu,ataboresha soko na minada ya Magu Mjini,Ng'haya Kabila na Maha lakini hilo limekua ndoto za mchana.

JE, WANAINCHI WEZANGU WAZALENDO MKO TAYARI KUIPOKEA HIYO TAARIFA??Kwa mawazo yangu huyu hafai hata kidogo kwa mbunge wetu tena.

Hivi ule mpango wa miaka ile aliahidi kukutafutia bonge la kazi au scholarship ya kwenda kusoma nje uliishia wapi? Isije ikawa umemchukia kwa sababu ya hiyo!
 
Tunahitaji mabadiliko kila kona hawa watu wanaoingia bungeni kwa kuhonga chumvi, kanga,t shirt na kofia iwe mwisho wao 2015
 
Hivi ule mpango wa miaka ile aliahidi kukutafutia bonge la kazi au scholarship ya kwenda kusoma nje uliishia wapi? Isije ikawa umemchukia kwa sababu ya hiyo!

Kaka @ makanyaga au we ndo chambo nini ?? Tangu nianze kupiga kupiga kura 1995 mpaka 2015 stegemei kuchukua rushwa hata chembe na limbu simna ukoo naye iweje ahaidi scholarship kwa mtu asiyemfaham ?mimi tarafa ya dagalu yeye ulizia wakupe jibu.
 
Dr Politics huwezi, huna ushawishi ndani ya chama chenu cha magamba, umeshindwa kutengeneza sera nzuri kuhusu pamba licha ya uenyekiti wako wa board ya pamba, u dont even sound like a Dr when u argue in a parliament, flatterer, blank and unrealistic hojas. Kwa ufupi u dont know even what you are doing?
GO teach some students.....
 
Aliyeitendea haki MAGU ni marehem NG'WANAMABAWA,R.I.P NDO mbunge wa kwanza pamoja na akina ERNEST KISUMO NYANDA, angalau walijitahidi.

Kwa NYANDA sikweli mala ya kwanza alili telekeza jimbo,hakuwai kuludi jimboni
 
Kwa NYANDA sikweli mala ya kwanza alili telekeza jimbo,hakuwai kuludi jimboni

Ilikua afadhali kwa sababu moja,there waz a single political party,na watu wa maeneo yetu hawakua na mpango wa kufuatilia maendeleo,wao wakichimbiwa lambo la mifugo mambo mengine kwaheli.
 
Back
Top Bottom