Jagarld
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 2,689
- 3,442
Kwa NYANDA sikweli mala ya kwanza alili telekeza jimbo,hakuwai kuludi jimboni
Nyanda sikuwahi kuona mchango wake wa maana,jamaa alikuwa kiupigaji zaidi kiasi kwamba aliamini njia nzuri ni kutoa zawadi kwenye kwaya,masalighula,zeze,ndono na mengine,ile kuimba na kumtaja jina tu 30,000/-,ukimsifia zaidi anaongeza tena.......
Lakini kuna mama mmoja alijitahidi kusambaza maji hadi vijijini alipotoka ubunge na maji nayo mpaka leo ni shida....kama magu yenyewe maji hamna wakati ziwa liko pale huku kahama wanatumia maji ya ziwa hilo hilo na wabunge wapo,kanda ya ziwa inabahati mbaya sijui ndiyo tabia zetu hizo,mbunge asikuwa na dira wala mpango wa maendeleo jimboni kwake ndiyo hao hao wanaodumu mda mrefu kama akina Limbu,mwenyekiti wa bodi ya pamba huku mmiliki wa kiwanda cha pamba huku mnategemea awatetee nyie wakulima asiwatetee wenye viwanda wenzake ili wasipate faida ya kupindukia!