TAARIFA KWA UMMA WA MAGU;
Tujiulize mbunge wetu mh.Dr. Limbu kaenda bungeni kutuwakirisha kua hata sisi jimbo letu haliko wazi!au ameenda bungeni kutusemea matatizo yetu kwa serikali ili itutatulie, Nimeaza na maswali manake kunamatatizo mengi sana na ahadi zake hakuna hata moja aliyotekeleza mfano alisema atapeleka umeme toka magu mjini hadi mahaha kupitia Ng'haya,Kabila,Shishani mpaka Mahaha lakin hata dlili hakuna,ataleta maji toka Ziwa Victoria na kusambaza kwenye vijiji mpaka sasa hakuna,atachangia jitihada ya ujenzi wa secondary Mahaha,
hajatoa mchango wowote,ujenzi wa barabara ktk kiwango cha ubora,lakini hajuna,ataboresha hospital ya Magu Mjini,Kabila na Mahaha,hiyo ilikua ni danganya toto ya watu wa Magu,ataboresha soko na minada ya Magu Mjini,Ng'haya Kabila na Maha lakini hilo limekua ndoto za mchana.
JE, WANAINCHI WEZANGU WAZALENDO MKO TAYARI KUIPOKEA HIYO TAARIFA??Kwa mawazo yangu huyu hafai hata kidogo kwa mbunge wetu tena.