Jimbo la Ludewa liko nyuma kwa kila kitu, CCM zaidi ya miaka 56,CHADEMA pelekeni wale vijana wa Marekani jimboni

mbasha mazengo

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
630
588
Mhe Sugu fanya ziara na kufungua matawi na vitingoji katika Jimbo la Ludewa. Wapo vijana wa vyuo vikuu hawana ajira wapewa kipaumbele cha uchaguzi wa matawi na vitongoji maana CCM kwa uongo wao wameifanya wilaya ya Ludewa kuwa ya mwisho kimaendeleo Tanzania nzima.

Na mhe Sugu wape hamasa ikibidi nenda na bendi maana vipaji vipo. CCM wamewabania watoto wa watu, wamebaki kunywa ulanzi na komoni. Hawajui Kama kuna vyama makini kuzidi CCM mfano CHADEMA, CUF,Act na NCCR Mageuzi.
 
Haya ndio maajabu ya ccm. Wanafanya maendeleo hewa.
Mhe sugu fanya Ziara na kufungua matawi na vitingoji katika Jimbo la ludewa. Wapo vijana wa vyuo vikuu hawana ajira .wapewa kipaumbele cha uchaguzi wa matawi na vitongoji maana ccm kwa uongo wao wameifanya wilaya ya ludewa kuwa ya mwisho kimaendeleo Tanzania nzima. Na mhe sugu wape hamasa ikibidi nenda na bendi maana vipaji vipo. Ccm wamewabania watoto wa watu, wamebaki kunywa ulanzi na komoni. Hawajui Kama kuna vyama makini kuzidi ccm. mfano chadema, cuf,Act na nccr mageuzi.
 
Karibu wananda na wapangwa.

Sikia wewe, chama cha upinzani hakiwezi kuleta maendeleo sehemu kama kinakosa sapoti ya chama tawala ambacho ndicho huunda serikali.

Hayo maendeleo watayaleta na kofia au kuzungusha mikono? Hujasikia malalamiko ya vyama vya upinzani kunyimwa fedha za maendeleo kwenye maeneo yao?

Tumia akili basi kama akili imeshindwa kukutumia.
Kama umeshindwa kuelewa, sema tu ufahamishwe.
 
Vipi kule manyoni kunamaendeleo?? Mbunge wa ccm amefanya nini??

Back
Top Bottom