Yanarudi yale yale ya 1960s' Tshombe, Kasavubu na Patrice Lumumba.
Kitu kigine habari ambazo uzileya huyu jamaa huwa naona ana chuki binafsi na Tshekedi - masaa yote uzingumzia wanavyo muonea Moise Katumbi kwani Kongo hakuna raia wengine wa Kuongoza nchi zaidi ya Katumbi - kwa nini kila mara unatuleteage horror stories kwamba kama siyo Katumbi Kongo ndio basi tena!!
Kwa taarifa yako AU haiwezi kuruhusu vurugu za Kongo za miaka ya 1960s zijirudie tena - hata Tshekedi hawezi kutishwa NYAU, tunacho taka Afrika ni kuwepo kwa utulivu na amani bila ya kujali masuala ya madini - mnachonganishwa na mabeberu ili mpigane wenyewe kwa wenyewe wao wafahifike kusomba madini yenu kiulaini - sijui wewe hulioni hilo. Msitishe watu na madini yenu ya Katanga kwamba fanyeni hivi or else - binafsi sipendi pendi uchonganishi wako, kwani Kongo ikigawanyika wewe utafahidika nini??