Uchaguzi 2020 Jimbo la Iramba hakika ni kumi yatosha!

wewe ndo pathetic hopeless.., kushikiwa akili, kuwahusudu na kua dictated na walevi wa kabila fulani, hta kama kweli mwigulu hafai si lazima wanyiramba wachague upinzani, mabadiliko yawezekana hta ndani ya chama hicho hicho cha mkulu.
Alishasema itategemea na alivyoamka siku hiyo hivyo huwezi kumpangia Mwenyekiti, Mwigulu atapita kwa upande wa CCM maana nafikiri ndiyo mwenye maisha mazuri Mkoa mzima wa Singida.
 
Kweli kabisa!
 
Wangekuwa siyo wavivu mgemchangua Mwigulu pamoja na kuwa na nyumba za tembe? chapeni kazi nitajie mnyiramba mmoja tajiri anayejulikana hapa nchini
Wapo wengi tu! Dkt Mwigulu mwenyewe tajiri sana tu!
 
Alishasema itategemea na alivyoamka siku hiyo hivyo huwezi kumpangia Mwenyekiti, Mwigulu atapita kwa upande wa CCM maana nafikiri ndiyo mwenye maisha mazuri Mkoa mzima wa Singida.
Utakua ulipitiwa mlango wa nyuma na mnyiramba ww na wambulu mnavogawa K ovyo kitaa kuna walakini. sio kwa chuki hizo ulizonazo dhidi yao. Alafu usichekeshe umati hapa, uko kwenu manyara kuna nini cha ziada knachokufanya ulete chuki zako za kikabila? Usituharibie tz mkuu, kosoa bila kuingiza ukabila, sio kenya hii.
 
Duuuhhh. Makubwa....
 
Wana Iramba habari.
Kama kuna mambo ya kufanyia majaribio na mambo mengine siyo, mkumbuke kuna watu kazi yao ni kutaka kuharibu tu.
Tuna mbunge wetu, wa kwetu wenyewe mzawa ( local native) na mzalendo kwa nchi yetu na msomi Mwigulu Lameck Mchemba, hakuna haja ya kuanza kufanya majaribio nyakati hizi za kazi na mh Rais wetu wa kazi MAGUFULI.
Mwigulu amepikwa kimila, darasani na siasani ni mjuvi wa mambo na ni moja kati ya vijana wa nchi hii wenye uthubutu, maono, na asiyetetereka.
Kwa kuwa tuka naye hapa Iramba tusimbeze ila tumtie moyo anafanya kazi nzuri sana,kama huamini waulize wenzetu kwenye majimbo mengine watakwambia maana kuna orodha ya wabunge watoro, waliokuwa mawaziri mizigo zinasambaa mitandaoni.
Kwangu mimi sisi wana Iramba tunamuhitaji mh Mwigulu zaidi ya yeye anavyotuhitaji sasa.
Mwigulu siyo wa ( local level) hapa, huyo ni national figure with an international repute, anaweza kuwa mbunge kokote kadri atakavyopendezwa iwe Dar,Arusha, Morogoro, Mwanza, Manyara, Pwani nk.
Kaka mwigulu wananchi wako sisi tunakuomba tena uchukue form na tunawaomba wajumbe wa mkutano mkuu CCM wilaya wakupitishe uje tukuchague umalizie kazi uliyoianza.
Umeweka kumbukumbu kwetu hatutaki kufanya majaribio.
Viva Mwigulu,
Viva Iramba.
 
Kwahiyo Manyara kuna nyumba za tembe?
 
Unajikomba komba tu. Acha watu watumie haki waliyonayo ya kuchaguliwa na kuchagua!
 
Kweli we Malaika Mkuu! Binadamu awa Malaika!
 
Kutokana na CCM kuweka mazingira mazuri ya kuzuia watia nia kujipitisha pitisha kwa ajili ya kugombea katika Uchaguzi huu na msisitizo wa kutotumika kwa rushwa, imejulikana kuwa kigezo kikubwa kinachoenda kumtoa Dkt Mwigulu Nchema kwenye kinyanganyiro ni vitendo vyake vya kifisadi amabavyo ameshavifanya. Wapinzani wake wameshakusanya ushahidi wa kutosha ambao watautumia kukata rufaa iwapo Uongozi wa Chamawa Juu utaamua kumkumbatia. Kuna ambao atayari wameahidi kuhama Chama iwapo itataokea dkt. Mwigulu anapewa nafasi ya kugombea tena. Wanaamini katika usemi wa "KUMI YA DKT MWIGULU YATOSHA".

Rafiki yangu mmoja akiongea na mimi kwa simu kutoka Dodoma alipoenda kwenye Mkutano Mkuu juzi alieleza wazi kuwa ameona baadhi ya viongozi wa CCM wa Mkoa wakimzunguka Mwenyekiti Ndugu Juma Kilimba na kwenda na Dkt Mwigulu maeneo ya Hotel ya Fantasy na kuweka mikakati ya ushindi kwa kuwa Dkt Mwigulu anaamini kati ya majina matatu yatakayorudishwa na la kwake litakuwepo. Inasemekana hao jamaa waliondoka na kiasi fualni cha fedha amabazo Dkt Mwigulu amewapatia ili wakaanze kumpangia Timu ya Ushindi.

Wakati Dkt Mwigulu akiendela na mikakati yake Mtia nia ambaye anaonekana kumpa kiwewe zaidi ni Eng. Jumbe Katala ambaye ameshashika Tarafa zipatazo nne za Wilaya ya Iramba wakati Tarafa ya Kisiriri ambayo amejenga Shule yake ya Sekondari inaongoza kumuunga mkono. Jumbe Katala ameonesha kuwazidi wenzake kama akina David Jairo, Grace Mkoma na Timoty Lyanga ambao wanaonesha wazi kuwa na kusudio la kugombea katika Jimbo hilo. Ndugu wa karibu wa Kijana anayetoka Kata ya Kyengege Mwanasheria Kitandu Ugula amesisitiza kuwa Mwanasheria huyo pia atagombea bila kuonesha nia kwani anafuata taratibu za kichama za bila kujitangaza. Wengine wanaotarajiwa kugombea lakini hawajasema chcochote kwa kipindi hiki ni akina William Shila wa Ulemo, Richard Mkumbo wa Uwanza ambaye ni Ndugu yake na Prof. Kitila Mkumbo ambaye ameonesha nia kuwania Ubungo Dar-es-Salaam.

Wengine ambao wamejitokeza wazi kugombea kwa upande wa upinzani ni pamoja na Jeska Kishoa kwa upande wa CHADEMA. Chama cha Act Wazalendo pia kinasemwa kuweka Mgombea mabaye kwa sasa atashiriki kwanza kinyanganyiro kupitia CCM na akishindwa ndiyo atahamia Act Wazalendo. Watia nia wageni wote wamepanga kuhakikisha Dkt. Mwigulu harudi kwa sababu wamechukizwa na kile anachojitamba nacho na kukosa unyenyekevu kuwa yeye ni Mamba aliyepo kwenye kina kirefu.
Mwigulu atawapa tabu sana
Jifunzeni siasa ndiompambane naye
 
Kufanya kazi
Kazi gani mkuu, hizi kazi tunazofanya unatufanyie wewe??
Nyumba tunazojenga unatujengea wewe?? Mashamba yanayotupa chakula unatulimia wewe?? Au unataka tuwe Kama wasukuma kuendesha daladala za baiskeli na kusukuma maguta mjini??
 
Back
Top Bottom