JIMBO LA BUKENE, Diwani huyu ni Kikwazo kwa MAENDELEO ya KATA

Mhe. AJAYE

Member
Dec 20, 2013
32
6
Ndg wanaBUKENE na kata ya KAHAMA YA NHALANGA kwa ujumla, Naombeni zifanyike harakati, na mbinu mbadala za kumwondoa huyu DIWANI wa kata ya KAHAMA YA NHALANGA(CCM) Bw. MADUKU JUMA hata kabla ya 2015, Nasema hivyo kwa kuwa diwani huyu ndiye kikwazo cha MAENDELEO ya kata yetu, kwa UTAFITI nilioufanya kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji waadilifu wa vijiji na mengine kujionea mimi mwenyewe, leo naomba nizungumzie machache tu ambayo yanatendeka au kufanywa na diwani huyu akishirikiana na baadhi watendaji waovu, mambo haya ni RUSHWA, DHURUMA, UHUJUMU, UDHINIFU na UTAPELI, nitaeleza jinsi yalivyofanyika na yanavyofanyika: 1. RUSHWA, amekuwa akipokea na kutuo rushwa ndani na nje ya kata yake na kwa manufaa yake na familia yake, mfano mzuri ni pale alipopokea rushwa ya zaidi ya Tsh mill 3 kutoka kwa MKANDARASI aliyekuwa akijenga barabara kupita kijiji cha NHABALA kuunganisha na wilaya ya KAHAMA kwny vijiji vya ITUMBILI na CHONA kwa kiwango cha changarawi nah ii imechangia mkandarasi huyo kuchelewa kumaliza na kujenga chini ya kiwango kama ilivyokuwa dhamira yake. 2. DHURUMA, kwa kushirikiana na watendaji wa kijiji, ameshiriki kuidhulumu familia ya Marehemu X wa kijiji cha NENHY'A(anakotokea diwani) zaidi ya laki 9 zilizotolewa na shirika la WORLD VISION kwa ajili ya uboreshaji wa kisima hicho na kuwa chini serikali ya kijiji, ikumbukwe kuwa kisima hiki kilikuwa cha mtu binafsi "yaan huyo MAREHEMU X" na sasa ni cha serikali ya kijiji bila malipo yoyote tofautin na makubaliano ya mzee na shirika la WORLD VISION, na walipojaribu kufatilia madai yao, diwan huyu aliitisha mkutano wa kijiji na kuwapiga faini "MASUMULE"( lugha ya kisukuma) ya mbuzi 4, kwa kutengwa na kijiji mpaka malipo yalipofanyika. 3. MHUJUMU, amekuwa akihujumu miradi mingi ya maengeleo ya kata, mfano miradi ya ukarabati na ujenzi wa shule, uchimbajia MABWAWA "marambo" kwny vijiji vya MWAMAKUMBI, NHABALA na NENHY'A ni pesa nyingi ziliidhinishwa na harimashauri ya wilaya ya nzega na kuliwa na diwani na washirika wake(majina tunayo) na mpaka sasa vijiji havina huduma hiyo muhimu kwa ajili mifugo na kilimo cha umwagiliaji na wanakijiji wanahangaika kupata huduma toka vijiji jirani eg. ITEBELE na ISHILA. 4. MDHINIFU, Kuna kipindi cha mwaka 2008/9 diwani huyu alikimbia familia yake na kwenda kuishi na kimada wake pale nzega(kimada alikuwa diwan wa kata X ambaye sasa ni marehem), diwan huyo alirejea nyumbani baada ya kufatwa na mke wake kule nzega na ugomvi mkubwa uliotokea, ushahidi wa picha tunao. 5. Pia ni TAPELI, diwan huyu na jopo lake walimtapeli mwanakijiji X, mbuzi 2 kwa madai ya kudanganya atamsaidia kuwa atamsaidia kwny kesi ya MASUMULE dhidi ya wanakijiji wa kijiji X, diwan alichukua mbuz 2 bila msaada wowote na bado huyu X alilipa mbuzi wa4 kwny kesi yake. Ni hayo kwa leo, kwa haya hatuna haja ya kuwa na huyu DIWANI ili tupate maendeleo kwny vijiji, kata na jimbo letu kwa ujumla. NOTE; Niko tayari kutoa ushihidi kwa anayebisha au kuhitaji kwa masharti yafuatayo, uwe mkazi wa wilaya, jimbo, kata au kijiji husika
 
Back
Top Bottom