Jimbo la Babati Mjini na kisa cha mbunge bubu Chambiri

Jimbo la Babati Mjini na kisa cha mbunge bubu Chambiri

BABATI LEGEND

New Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
2
Reaction score
4
Kwa takribani miaka mitano ya kufuatilia mijadala ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania na hatimaye bunge maalum la katiba, sikuwahi kumsikia huyu anaejiita mbunge wa watu wa jimbo la Babati mjini mh. CHAMBIRI.

Nikiwa kama mwanababati SITAKUBALI kuona hili linatokea tena kwa Babati yetu yenye kila aina ya utajiri.
 
Jimbo la BABATI MJINI ni kati ya majimbo ambayo kwa muda wa miaka mitano lilikuwa halina mbunge kabisaaaa. Kwa maana hiyo NATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BABATI MJINI mwaka wa uchaguzi 2015 :clap2:
 
Kiseryi Chambiri alitokaje Tarime akaja kupata ubunge Babati? Hii huwa inanipa ajabu sana , mtu akose kutetea ubunge Tarime aje kuupata wa Babati ina maana watu wa babati wamelala sana?
 
Huyu aliangushwa Jimbo la Tarime mwaka 2005 akaja kwenu na nyie mkampa Ubunge!Ingepaswa aulizwe kwa nn alikataliwa kwao Tarime na kwa nn tukukubali sisi?
 
bora hata huyo kuna lingine linaitwa David Malole la Dodoma pubavu sana
Ha ha ha ha ha ha !, bora ya hayo wanakuwa mabubu kuliko akina sospita muhongo kila kila siku kutudanganya, wamatufanya sisi watanzania maboya sana. Pumbavu zimwendee sospita muhongo
 
Kuna jinga lingine linaitwa freeman mbowe.
 
mbunge makini ni huyu hapa, anafaa achukue nafasi ya Tibaijuka
[video=youtube_share;VkVASwRLPl8]http://youtu.be/VkVASwRLPl8[/video]
 
Yote tisa,kuna jinga jingine linatwa Jah People la Njombe huko.
 
qbG8Bgax2oEOm2GGtMImBCnZlxGI4ODhs727JLJIIwVfDW0nBnuKgD9MTcOQjq7MRUXzoFVBJZIc1maUqE-GMqTiT_L3p5el5peMDyvw0b8peagWQFuYB4nJhPFzBD4i-oRSOZx082fUm8RiaTDnSAI_hm5FOHiUbbi9ojjEr4qDbOSZFr3o-E6-v_rWmFXIAKXGLr687bUNxSjXuLK2LAR5bOePSHT3E-J86ut2ddY4ug=s0-d-e1-ft
 
Back
Top Bottom