Jimbo la Babati Mjini na kisa cha mbunge bubu Chambiri

Jimbo la Babati Mjini na kisa cha mbunge bubu Chambiri

hapa mwanga kilmanjaro hatumtaki na wala asihangaike kuchukua fomu huyu Nangera.
 
Mimi najua lowasa ndiyo bubu kuliko wabunge wote.
 
Kwa takribani miaka mitano ya kufuatilia mijadala ya bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania na hatimaye bunge maalum la katiba, sikuwahi kumsikia huyu anaejiita mbunge wa watu wa jimbo la Babati mjini mh. CHAMBIRI.

Nikiwa kama mwanababati SITAKUBALI kuona hili linatokea tena kwa Babati yetu yenye kila aina ya utajiri.

Kuna mwingine bubu anaitwa DEWJI
 
Kiukweli ni kati ya failures mojawapo ya ccm through kura ya maoni. This time they need to be realistic
 
CHADEMA pale wanamsimamisha Paulina Gekul. Umeshafanya tafiti?
 
Kuna kengemaji lingine lilihonga pesa ya jimbo kwa Lundenga ili mwanae aukwae umiss, nadhani nyote mnalifahamu.
 
Huyu aliangushwa Jimbo la Tarime mwaka 2005 akaja kwenu na nyie mkampa Ubunge!Ingepaswa aulizwe kwa nn alikataliwa kwao Tarime na kwa nn tukukubali sisi?

Tarime walimkataa kutokana na kutowaletea maendeleo yeyote zaidi ya majivuno na dharau kwa wana tarime. Alidiriki kuwaambia atatawala mpaka ng'ombe zake zitatawala. Pale tarime pamoja na kuteka mlima na kuuita jina lake wana hasira naye na siku wakimpata hakika watamgecha.
 
Kuna chizi lingine linajiita sugu la huko Mbeya Mjini
 
Tarime walisema bora wachague jiwe kuliko kumchagua tena chambiri
 
Jimbo la BABATI MJINI ni kati ya majimbo ambayo kwa muda wa miaka mitano lilikuwa halina mbunge kabisaaaa. Kwa maana hiyo NATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BABATI MJINI mwaka wa uchaguzi 2015 :clap2:
we nae ndo wale wale wasaka tonge,,mp........uuzzzzZzZ
 
mmelisahau hili zoba la segerea linajiita Makongoro Mahanga kumbe jina lake halisi ni SIHABU OTIENO mkenya
 
Tuunganishe nguvu natafakari kwenda Babati Vijijini. Muhindi aliyepo sasa ajiandae kuondoka.
 
CHADEMA pale wanamsimamisha Paulina Gekul. Umeshafanya tafiti?

Naunga mkono. Paulina ni jembe na tumeona juhudi zake hapa Babati ingawa ni Wa viti maalum tu. Safari tutampa jimbo huyu Chamiri tutakula fedha zake lkn ubunge NO.
 
Kuna jamaa yangu alikosa pia kwenye jimbo lake la asili mwaka 2010,amesema awamu hii 2015 anaelekea Babati kwa sababu watu wa Babati ni waungwana sana na wanapenda kufariji majerUhi (WALIOKOSA KWENYE MAENEO YAO). Nawaomba msimuangushe rafiki yangu wana Babati tuko pamoja nanyi na tunawaunga mkono kwa moyo wenu wa kufariji wenye mahitaji maalumu
 
Back
Top Bottom