sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
mbunge wao yupo kimya dar anakula kuku huku shule zimefelisha lakn kam vile haimhusu kwa kuwa watoto wake wanasoma englsh medium,sasa n wakati wa wana arumeru magharb kumchagua mwalmu km ataweza kuwasaidia ktk elimu ambayo imedorora mno pamoja na kuwa na michango mengi.