Jimama linanitega

Jimama linanitega

Habari wajameni!
Hapa maeneo ninapoishi kuna mama limoja hivi linaonesha linanipenda maaana?
Akinikuta pub nakunya vi castle lite vyangu viwili lazima aje akae kwenye meza yangu mala ohoo we mkaka mstaarabu mala mbona siku hizi huonekani story zina noga sada jana nimempeleka hadi kwake mida ya saa tatu usiku akaniambia niingie ndani tumefika sebuleni kamuita house girl akanunue bia nyingine tena....sikua na hofu kwani huyo mdada yupo singo alafu hana mtoto na nyumbani kwake anaishi yeye na house girl tuu amejenga mtaa mmoja na home basi tumekunywa kama nne nne hivi mwenzaku ananiitia chumbani kuona hivyo nikamuaga h/girl naenda dukani sikurudi asubui amenipa lift kituoni kalalamika sana kwanini jana sikumuaga

How old are you?
 
Kijana, lifestyle ya siku hizi kuna wanawake wengi sana wako desperate sana baada ya kuona mda unawapita na ndoa ndo haziji. Angalia usije ukaingia kwenye tego isitoshe kuna wengine wana ngoma zao stereo kabisa wanatumia ma ARV ya kutosha. Ukitaka kujinasua we nenda kisha mwambie "dada una ARV humu ndani, nimeishiwa za kwangu" uone kama hajatoka baruti kama ni mzima.
Kuwa makini kijana.

Hahhahaaaaaaaa! duh!
 
unazijua dalili za ukimwi? watu wanakula ARV hata huwezijua nani ana 'ngoma'...wee ingia ucheze tu, tutaongeza jina katika majina yako!..'marehemu fulan'!
 
Poa wana tutaendelea maana naona kamuda ka kuchoka kwenda kwa party umefika....so yeye anasema anaijua jf ila sio memba asije akagutuka kwa kuunganisha vipande vya picha nitawajuza bidae nini kinaendelea?
Amesema anatoka getini kwake ananipitia apa home.....ila me nahatari mwenzenu?

umesema namba ya simu yake huna.......ama hg ametumwa kuja kukwambia anatoka getini???:confused2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom