Jimama linanitega

Jimama linanitega

kasuku mtu

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
321
Reaction score
94
Habari wajameni!
Hapa maeneo ninapoishi kuna mama limoja hivi linaonesha linanipenda maaana?
Akinikuta pub nakunya vi castle lite vyangu viwili lazima aje akae kwenye meza yangu mala ohoo we mkaka mstaarabu mala mbona siku hizi huonekani story zina noga sada jana nimempeleka hadi kwake mida ya saa tatu usiku akaniambia niingie ndani tumefika sebuleni kamuita house girl akanunue bia nyingine tena....sikua na hofu kwani huyo mdada yupo singo alafu hana mtoto na nyumbani kwake anaishi yeye na house girl tuu amejenga mtaa mmoja na home basi tumekunywa kama nne nne hivi mwenzaku ananiitia chumbani kuona hivyo nikamuaga h/girl naenda dukani sikurudi asubui amenipa lift kituoni kalalamika sana kwanini jana sikumuaga
 
Wewe unampa lift au yeye anakupa lift?
 
mmh jiangalie sana. inawezekana anao wengine kama sita wanafanana na wewe. jiulize tuko wangapi?
 
Masikini kasuku mahindi gani hayo yameanguka kwa mstari ?hao hawatafutagi wa kuchinja wanachinja wenyewe
 
Halafu ww zoea tu kwenda nyumbani kwake, akitokea mwenzio anayetunza uje pia kutuhadithia alichokufanya!!
 
tatizo hilo litakuwa lishatumika sana, waweza kuta asali yote imeisha wamebakia watoto tu wa nyuki. Ukinasa hapo baba hutoki hahahaaa
 
Kijana, lifestyle ya siku hizi kuna wanawake wengi sana wako desperate sana baada ya kuona mda unawapita na ndoa ndo haziji. Angalia usije ukaingia kwenye tego isitoshe kuna wengine wana ngoma zao stereo kabisa wanatumia ma ARV ya kutosha. Ukitaka kujinasua we nenda kisha mwambie "dada una ARV humu ndani, nimeishiwa za kwangu" uone kama hajatoka baruti kama ni mzima.
Kuwa makini kijana.
 
Wewe unampa lift au yeye anakupa lift?

yeye ndio ananipa lift yupo bank hata sijamuuliza na jioni kaniambia twende sehemu kuna party....hivi nataka nitoke kibaruani niende home coz amesema saa moja tunaenda kunasherehe ya kumuaga nduguye anaolewa..
 
yeye ndio ananipa lift yupo bank hata sijamuuliza na jioni kaniambia twende sehemu kuna party....hivi nataka nitoke kibaruani niende home coz amesema saa moja tunaenda kunasherehe ya kumuaga nduguye anaolewa..
Huna lolote na wewe uko interested na huyo mama, mawasiliano yote hayo na ukaenda hadi kwake !
We endelea na mipango yako au unampango wa kumchuna maana vijana wa siku hizi mh, wanaume kama mabinti!
 
Tatizo letu liko katika tafsiri ya kila kitu tunachofanyiwa, na mbaya zaidi mara nyingi tunatafsiri kutokana na hisia, mie sioni tatizo hapo, na hata kukuita chumbani sidhani kama ni kosa vile tayari umekubali kwenda kwake. Haya maelezo ya u-single wake na wasifu mwingine ndio hasa unakufanya uombe ushauri, Mkuu ng'ombe hazeeki maini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom