Jimama linanitaka kwa nguvu

Miaka 34 siyo jimama.

Inawezekana wewe una miaka 18 na ndo kwanza chunusi za balehe zimetuna kama chuchu
 
Nipe namba yake
 
Kikubwa hapo ni kuzibua mtaro kaka........
 
Lijimama,Lina,lime,Lili,lika,li,Lili,nili,....LIGONGE!
 
Kila mzigo wewe unakwama wapi?
 
Miaka 34 ana ujimama gani huyo????

Ungekutana na sisi wa 54 je?

Huyo binti kigoli kabisa unamwita jimama!!!
 
afadhali kesho itakuwa jumatatu ili uende shule utupunguzie jam umu jukwaan

maswali gani hayo ya kutuuliza
 
Humu watoto wengi, sasa 34 ndio utasema jimama, huyu si mdada aliyetoka kwenye usichana juzi juzi tu hapo.

Mimi financial services wangu pamoja kuwa na 30+ ila bado namuona kigori, nataka nimuoe mke mdogo ila kwa cheo atakuwa mke mkubwa [emoji1787]


MPELEKEE MOTO
 
Utoto ni Raha! Hili nalo ni la kuwauliza JF?
 
Humu watoto wengi, sasa 34 ndio utasema jimama, huyu si mdada aliyetoka kwenye usichana juzi juzi tu hapo.


MPELEKEE MOTO
Mwanamke akishafika miaka 29 anaanza kuwa jimamaa.....
Kisaikolojia na kimaumbile ni mkubwa mno.....
Mkubwa sanaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…