Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,157
- 31,334
Kumbe mwanamke akifikisha miaka 34 tayari jimama?Wakuu kuna jimama mmoja hapa mtaaani ni pisi Kali Lina tako kama mahondaw linanitaka kwa nguvu yaani liliolewaga likaachika sasa ni li singo mother linakaa yeye na mtoto wake limekuwa likinichatisha sana sex chat ili niligonge umri wake ni miaka 34
Nifanyajee wadau?
Dah basi mimi nakaribia huo umri nakaribia kuitwa li sugar dady masikini ya Mungu


