Hiyo ndy observation yako? Haujui kuna wabongo kibao wanadundwa na wake zao, hao nao utasema ni wamarekani? Hayo ni mawazo ya kijima bana!Nyie mlio waoa hao wanawake wakimarekani kwa ajili ya kupata makaratasi inaelekea mna shida sana. Kama mambo yenyewe ndiyo kama haya basi tunawaombea usalama. Rudini kwenu jamani njaa zitawauwa bure.