Jimama la KIZUNGU

If I am to think deeply into this romance and eventual relocation of the lady....I think it has lot to do with s*x........I think the man "put it down" on her.......that's why she's hooked....lol
 


Mkuu shukrani sana, tuje tukutane ku-liboma, au kwa mzee Kwilanga, au?

Vipi yule mzee Sabuni aliyekua anatulimisha wananfunzi usiku kwa mazingaombwe, shamba lake la miwa bado yupo?
 
Nimeiangalia ile picha tena ya Mzee Amri. Rafiki yangu mmoja London kanitonya kuwa ni
Dennis Amri, jamaa tuliwahi kukata mitaa kule Magomeni Mikumi. For that reason nitahakikisha namtembea mate wangu wa zamani kuona anaendelezaje libeneke ya mapenzi ya kisasa kijijini Mahenge. Kwi!kwi!kwi!
 
Huyo mzee inawezekana ni mkali wa ile sayansi yetu ya kiafrika, kule Mahenge ipo kwa sana tu, na wale waliokuwa wanaitumia vibaya walikuwa wanapelekwa Kiberege kwa Bibi Kalembwani kuumbuliwa. Kwa jinsi mzee alivyoitumia kuleta jimama la kulichuna, nadhani hata bibi Kalembwani angekuwapo leo angemtumia salamu za pongezi. Ni wakali hao jamaa, usiwachezee!
 
 
Mimi siwashangai hawa wazungu! inaweza ikawa amewaza kuja kuanzisha kitega uchumi huku kwetu, akatumia gear ya mwanaume kuhamia hapa kwetu! sio mabaya....tusubiri matokeo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…