Jiliwaze!

Jiliwaze!

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
293423_116054405163517_100002768750184_76924_6269202_n.jpg Si unakumbuka wale jamaa walikuwa wanakula ugali kwa picha ya
samaki? Sasa tumeamua kuurejesha rasmi mfumo huo ambao unafaa sana kwa awamu hii ya nne!
 
aisee hii habari ya kutiana hamu ya mihera asubuhi asubuhi siyo fresh, mwenzako hapa nimeshawaza nimejenga bonge la hoteli na kufungua duka la vifaa vya ujenzi, nouma hivo....!!
 
kujiliwaza au kujiumiza.......na bora tu hizi noti za zamani ziendelee maana hizi mpya ni buree kabisa
 
Nimepata goose bumps nilivyo jaribu ku imagine ndio za kwangu.
 
Kwa kweli tunanyanyapaana,hasa kwa sie tusio na senti mfukoni.
 
tunaumizana tu hapa au mwenzetu we fisadi unaturingishia?
 
dah, ahsante kunikumbusha kuwa siku moja account yangu inatakiwa iwe na kiasi kuzidi hicho.... ahsante sana.... Entrepreneurs i hope tuko pamoja
 
Haaaaaah kwa taarifa hiyo ni hela ya matumizi ya ENL, Ridh1, RA,MO, .......etc KWA SIKU
 
nina hamu ya kumjua Vault Custodian anayeruhusu hizi pesa chafu kuendelea kukaa kwenye Vault wakati kule BOT kuna wachomaji wanakaa tu bila kazi.
 
Back
Top Bottom