Jilinde usichomwe na mfupa wa samaki na nyoka

Kwenye moyo unaenda mfupa au sumu yake?! Mfupa utasafirishwa vipi mpaka kwenye moyo?
 
Uko bar unatumia kinywaji gani
 
Katani mwiba wake unawasha tu ila hauna madhara.
Sio kweli mkuu. Nimeshuhudia mtu akinusurika kukatwa mguu huko Lugongo estates (Tanga) baada ya kuchomwa na mwiba wa katani na akachelewa kupata matibabu.

Wale waliotokea sehemu zenye mashamba ya mikonge wanaelewa ninachoongea.
Huo mwiba ni habari nyingine brother.
 
Ndio maana wengine wakimuua nyoka wanamchoma moto na kumzika ili mwiba usiwachome watoto na watembea pekupeku
 
Pombe mnayokunywa ndio inawapa mawazo hayo msinywe tena mshalewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…