[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha hahaha hahahahah. Ukiona kimya sikoment huku ujue simu ipo chaji Mimi nipo nje na shughuli nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KweliHahahahahahhahah .
Kitandani atanifuata[emoji23][emoji23]atajidai na yeye analalaga mchanaHahahahahaha
Umepaona lakiniii... utapumzika kitandani bana
Wewe umejiandaa sio kidogoHahaha afanye kazi au apike kwani ameenda kupika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Maana kama anategemewa akapike panaeza pasipikwe kabisa yaani.
Kwani kuna ubaya??Kitandani atanifuata[emoji23][emoji23]atajidai na yeye analalaga mchana
Vyote jamaniKula au kupiga story auntie?
Kaangalie location yake inasoma wapi sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23]Yule huwa hasubiri wagombane....
Utaona tuu , location...on bed
Mtafute banaaTatizo sasa sijui kama bado yuko duniani[emoji1745][emoji1745]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una nini wewe leo?[emoji23]Ha hahaha hahahahah. Ukiona kimya sikoment huku ujue simu ipo chaji Mimi nipo nje na shughuli nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kimeshaiva?Funika chakula kitapoa...
Boda boda iko mbali sana
Na sisi tukikatiza campaign zetu za kupretend ni wife material baada ya kuolewa ..wanatuona wabaya[emoji23][emoji23]Wakioa wanakuw awalemavu ghafla.
Madai yao kampeni imeisha[emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaangalie location yake inasoma wapi sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ukaribisho hadi nikutishie kweli?[emoji134][emoji134][emoji134]Karibu mama la mama...unajua venye mwanao nakupendaga[emoji23]
Hujaona kumbe autie...Kwani kimeshaiva?
Haki nimecheka kinomaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuteb soma hii hapa kabisa kabla mambo hayajaharibika
Hahahaa hata wasipogombana yeye anaweka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpaka wagombane sasa ndiyo atasema.
Mfyuuuu ww haujaniamsha asubuhi mmNdo unaamka eeehh
Eid Mubarak
Mm na kitimoto wapi na wapiMie nilijua ni wewe
Hapa nazuga tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitakuchapaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naelewa kiutu uzima jamani...
Na hivyo hupendi kutumia simu ikiwa kwa charge