Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Pamoja mkuuSafi hongera
Vikiiva uweke kapicha tule kwa machoPamoja mkuu
Unipitie twende woteMambo ni motoooo
Naweka mkuu mpka mwisho
Zinakuja mkuu ngoma ndio lipo jikoniVikiiva uweke kapicha tule kwa macho
Hahahaa huyu mdudu mwachen tu aiseeeBaada ya kutaja mbuzi katoliki umenifanya nifunue walet yangu nione kuna sh ngap niagize kilo nzima
Kwa kifupi umenipa mzuka sana
Vip nguna haihusiki hapo mkuu..???Naweka mkuu mpka mwisho
Ndio ndio si unajua mgeni akija vyakula vinakua viwili sasa..Bora upike mapema mgeni akija mle tu
Mtoto huyo ugali hauwezi..namwekea tu ndizi mkuuVip nguna haihusiki hapo mkuu..???
Akila ndo anaanza kucheza nao (mpini) au tayari ashacheza naoMtoto huyo ugali hauwezi..namwekea tu ndizi mkuu