financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,362
Weee,sitaki kufa kwa presha Mimi, mume akitoka tu najua umeenda kuchakata mapapuchi mengine huko ,Njoo nikuoe wewe
DuuhVyote tunaweza lakini papuchi mnazo nyie.
Ooh, you're a true definition of husband material,umeongea kwa busara mwenyeweNinyi kuwaoa sio kwa ajili ya kupika tu.
-Ninyi ni faraja kwetu
-Ninyi ni ubavu wetu
-Ninyi ni miongoni mwa nguzo katika familia, familia haiwezi kuimarika kama nguzo zimepelea.
Kwa uchache ni hayo....
Usimkatae ziro sasa, hicho ni kiwanda kinachojitegemea kinajiendesha chenyewe kwa faida kubwaOoh, you're a true definition of husband material,umeongea kwa busara mwenyewe, nimekuelewaa
Aaah zero hata nipewe bure simtaki, mtu gani anachakata kila kilichopo mbele yake iwe chipsi, mapapuchi ya kila aina aarghUsimkatae ziro sasa, hicho ni kiwanda kinachojitegemea kinajiendesha chenyewe kwa faida kubwa
Vina onyesha vinasugu balaaaWakuu mmeona vidole vya zero iq anayekula madem mtaan
Aaah zero hata nipewe bure simtaki, mtu gani anachakata kila kilichopo mbele yake iwe chipsi, mapapuchi ya kila aina aargh,kiwanda multipurpose hapana
Wewe pia nimekudharau. Yaani mtu mkubwa hivyo unadhani ukiwa na kazi lazima uwe umeoa au kila asiye na mke sababu kuu ni Abdallah kichwa wazi hayuko vizuri.ZeroIQ nimeshakudharau. Yaani umri huo kazi unayo tena nzuri halafu bado huna jiko?
Ama abdallah kichwa wazi hafanyi gwaride?
Utamu tunao sisi, hivyo acha wapike ili waje kutupunguzia kazi.Wakaka mnapika vizuri hadi mnatuzidi dah ,hivi mtatuoa kwelii for what sasa,karibia kila kitu mnafanya wenyewe tu, sifa hizo
Wewe pia nimekudharau. Unawatetea watu wanaojipikia wakati madada zetu wamejaa mitaaniWewe pia nimekudharau. Yaani mtu mkubwa hivyo unadhani ukiwa na kazi lazima uwe umeoa au kila asiye na mke sababu kuu ni Abdallah kichwa wazi hayuko vizuri.
Weeee, hawa anaweza asifanye kabisa akioaUtamu tunao sisi, hivyo acha wapike ili waje kutupunguzia kazi.
Vile wanajionaga walemavu wakishaoa!!!!Weeee, hawa anaweza asifanye kabisa akioa,utaskia majukumu ya mke hayoo
Mbona unamtetea hivo, kweli unanipoteza nduguyo kwa kunambia niende kwa zero
Kadri unavyozidi kuchakata ndivyo unazidi kuzalisha bidhaa nyingi
Ninyi kuwaoa sio kwa ajili ya kupika tu.
-Ninyi ni faraja kwetu
-Ninyi ni ubavu wetu
-Ninyi ni miongoni mwa nguzo katika familia, familia haiwezi kuimarika kama nguzo zimepelea.
Kwa uchache ni hayo....
Mbona unamtetea hivo, kweli unanipoteza nduguyo kwa kunambia niende kwa zero
Naona umechakata matango mkuuKaribuni na hukuView attachment 1172487