Jikoni kibabe.....!!!!

Aisee kwenye mlenda na maziwa mpaka Bi mkubwa nilishaga mwambia kama kunamtu anataka kuniua hana haja ya kuhangaika sana aweke tu sumu kwenye hizo mboga ameshanikamata
Mlenda ni noma aisee,tena upikwe na karanga, ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…