Jiko la kuchomea nyama ya burger au chapati

aghassany

Member
Oct 9, 2011
57
1
Hili ni jiko la kutumia gesi ambalo unaweza kuchomea nyama za burger, chapati, nyama steak na kadhalika.. Limetumika kwa miezi sita. Bei ya hili jiko likiwa jipya ni shillingi milion mbili na nusu ( 2,500,000/=)

Wanaa Jamii jipatieni hili jiko zuri kwa shilingi milioni moja na laki tatu tu ( 1,300,000/)

Na pia hili jiko sio la kichina.
 
Attachments

  • 21111102443221112011362FS.jpg
    21111102443221112011362FS.jpg
    93.1 KB · Views: 505
  • 21111102443621112011364FS.jpg
    21111102443621112011364FS.jpg
    86 KB · Views: 430
Mweh! Mpishi wako alikua analiparua kama kuku. Bado liko nonstick? Linachoma nyama ngapi kwa pamoja?
 
Bado liko nonstick...Inategemea na size ya nyama yenyewe but standard Linachoma nyama 36-40 kwa wakati mmoja... Ahh si unajua wapishi lakini ukiweka ile spray ya kuondoa stain on grills inakuwa safii kabisaa.
 
Me nataka Jiko la Kupikia Shawarma

MKUU burger inalipa zaidi kaka. Jiko la shawarma nakumbuka last week niliulizia hapa bongo wanauza 2.5 kitu kama hivo.

Mimi nina jiko jengine la burger ambalo linakuja na mobile cart yake. Ni good investement naliuza for 2.3. Yaani ukipark sehemu ya crown hivi kama mitaa ya coco au huku nyuma obay sat and sunday unafunga hela ya maana...

Unaweza uza hata burger 50 kwa siku thats minimum but unaweza fika mapaka 100. tupige mahesabu ya minimum

Ukiuuza burger 50 x 3000= 150,000 x 2 ( yaani jumamosi na jumapili) Una laki 3

Na nusu nusu so unaweka 150,000 per week. kwa mwezi una 600,000. Hapo tumepigia minimum but ukipiga burger zako 100 mzee una hela ya kutosha. Na unarudisha hela yako ulio invest in no time...
 
nami natufuta jiko la shawarma nitumie contacts 0753087713
 
Back
Top Bottom