Nahitaji Hilo Jiko La Kuchomea Nyama, Je Unaweza Kufanya Delivery?? Mbezi HukuHabari za muda huu wakuu,
Nauza Kabati la kuwekea Vitafunwa, Matunda au Chips. Pamoja na Jiko la kuchomea nyama ina ngazi mbili.
Bei ya Kabati; Sh 150,000
Jiko; Sh 80,000
Eneo: Baruti, Ubungo.
View attachment 2501383View attachment 2501385View attachment 2501389View attachment 2501393