Jijini Dodoma maji dumu shilingi 1000

Huo uwongo wenu wa chadema mwisho wenu ni October
 
Nilienda wizara ya afya mwezi wa 6 nilikaa kule siku 3 dah maji hamna vyooni yaani nikajiuliza sana ofisi kubwa kukosa maji.
 
Hilo la daladala ni kweli,dalaldala zinajaza watu mpaka mlangoni na haziondoki mpaka watake wao na abiria kimya.
 
Huyo dogo jamaa angu aliyepo dodoma anasema mpaka leo hajaonekana ndugu zake wameambiwa alipotea akiwa field Singida wakati kipindi hiko hakikua kipindi cha field.
Humo vyuoni ndio shida plus kuna kipindi inafika hadi wiki maji hayaonekani.

Kuna Dogo alipost picha twitter ikionyesha shida ya maji udom alikamatwa akapelekwa central
 
Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania

Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao



Tukutane kwenye comment

Mtanzania Umepata pesa kidogo tu unaanza kushangaa Ndoo ya Maji kuuzwa Elfu Moja!
 
Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania

Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao



Tukutane kwenye comment
Wakati wa uchaguzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…