Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Linanuka shomboooo na harufu za maji taka toka mitaa ya uswahilini.... Dar bhanaa balaaa tuu!!!linavutia..........
Linanuka shomboooo na harufu za maji taka toka mitaa ya uswahilini.... Dar bhanaa balaaa tuu!!!
hujielewi wewe! em angalia basi hata google earth kusaidie. watu wa mikoani mna matatizo!Kosa ulilofanya ni ku-edit hii picha, bank kuu haiko pale
Shukaaa chin ujioneee mwenyewe chafu linanukaaa magonjwaa nje njeee tu