FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,998
- 47,068
Picha ni kama inavyojieleza
Hahahahah...!Hiyo ni Dar es Salaam (Daslaaaaaaaam) Karibuni mjini, ukiishi Dar es Salaam nikama graduate wa mkoani
Yaani wanaoishi Dar wapewe degree!!! Ehheeehheeeehe!!!!Hiyo ni Dar es Salaam (Daslaaaaaaaam) Karibuni mjini, ukiishi Dar es Salaam nikama graduate wa mkoani
what's so special in dar?Hiyo ni Dar es Salaam (Daslaaaaaaaam) Karibuni mjini, ukiishi Dar es Salaam nikama graduate wa mkoani
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mleta mada unajua sana kucheza na saikolojia ya wakenya.
najua watakuja kwa kwa fujo wakidhani ni picha ya nairobi kumbe ni dar.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]