Umati mkubwa uliojitokeza viwanja vya tangamano jijini Tanga umepelekea mkutano kuarishwaa ili kupunguza watu na kuendelea ndani ya dakika tano
nasema haijawahi kutokea na haita tokea kweli Lowassa kipenz cha watu #viva lowassa #viva ukawa
hali ilikuwa si shwar uwanjani watu walizimia kila dakika kutokana na kukosa hewa na msongamano hivo mkutano ukahairishwa kwa kuofia usalama wa watu ni hayo tu
umati mkubwa uliojitokeza viwanja vya tangamano jijini tanga umepelekea mkutano kuarishwaa ili kupunguza watu na kuendelea ndan ya dakika tano
nasema haijawahi kutokea na haita tokea kweli lowassa kipenz cha watu #viva lowassa #viva ukawa
Mkutano wa ukawa umeahirishwa kaw muda na kupunguza watu maana uwanja umekua finyu hadi watu wamekosa hewa wanazimia...ni uwanja wa tangamano walikotumia ccm na magufuli...