Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 824
Mbona maeneo ya Mwenge na Mikocheni hatujasikia mlindimo huo nawe umesema ni jiji zima?
Ndio sasa unajuzwa kama vipi soma magazeti ya leo.

safi sana..hawa jamaa walisoma upepo wakaona ya LEMA yasije yakajirudia mikoa ya pwani yoote ikageuka NGOME YA CHADEMA...ila moto wa petrokl ushawashwa kwenye nyasi kavu...
Watu wana mapenzi mabaya hivi Jiji la Dar es Salaam linaweza kurindima sababu ya Mnyika, kwanza kuna watu wengine hata huyo Mnyika hawamajui.
Ni kweli, Ubungo na Kawe wamejazana watu wenye hulka na tabia za Kaskazini. Majimbo ya Segerea mtalichukua pia, dalili zipo wazi na Ukonga kuna kina mura wengi, nao hawatupendi. Ila majimbo ya Kusini mwa Dar (Kigamboni na Temeke, Magamba tunapetaaaa..!, chezea watu wa Kusini weye? Jimbo la Ilala, magwanda labda mtegemee kura za Kitunda, ila humu mujini Wahindi na Wazaramo wa Kariakoo, Magomeni, Jangwani tumewaweka mfukoni, hamtuwezi.Watakuambia Dar ni ya ukanda wa kaskazini
Uongo mwingine wala hauna rutuba kwa chama....hayo maandamano yalipitia barabara gani?! Mishemishe zangu zipo Mtaa wa Ohio; mtaa ambao hutumika sana kutoka na kwenda mahakama kuu. Na nilikuwa pale tangu saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni!!! Mie hayo maandamano mbona sikuyaona zaidi ya Pick Up moja ambayo ilibeba wafuasi wa CHADEMA? Walipitia Kivukoni Front hadi Morogoro/or Azikiwe hadi Bibi TT au walizungukia Ocean Rd?
pwani ya bagamoyo nayo inabidilika labda Tabora
nenda kamuone dakatri wa masikioMbona maeneo ya Mwenge na Mikocheni hatujasikia mlindimo huo nawe umesema ni jiji zima?
Uongo mwingine wala hauna rutuba kwa chama....hayo maandamano yalipitia barabara gani?! Mishemishe zangu zipo Mtaa wa Ohio; mtaa ambao hutumika sana kutoka na kwenda mahakama kuu. Na nilikuwa pale tangu saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni!!! Mie hayo maandamano mbona sikuyaona zaidi ya Pick Up moja ambayo ilibeba wafuasi wa CHADEMA? Walipitia Kivukoni Front hadi Morogoro/or Azikiwe hadi Bibi TT au walizungukia Ocean Rd?
usiseme hatujasikia mirindimo ya furaha, sema sijasikia' na kwakua haijakufurahisha habari ya ushindi wa mnyika, wewe ni miongoni mwa wale wachache ambao daima wanapingana na ukweli wa maisha.