Jiji laimilikisha VODA-COM bustani ktk ya JIJI, Dar

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
Ni ile bustani iliyopo kati ya mitaa ya Aggrey, India, mosque na Samora, ndipo lilipo lile kaburi la Imamu wa kwanza M-tz. Ipo karibu kabisa na Harbour view (J.M.Mall).
Hapo Voda wameweka kontena la M-Pesa (Ikumbukwe makontena yalipigwa marufuku mwaka 2006) linalomilikiwa na Merseytel - nadhani hii ni kampuni. Habara hii nimeipata leo baada ya kumwona mlinzi akimfukuza jamaa aliyekua ndo kwaaanza anakaa ili kupumzika mahali hapo kufuatia jua la mchana huu.

Nilipokua mdogo omba omba walikuwa wakilala hapa nakumbuka kulikua na viti vya bustanini, lakini leo kuna vijikamba vingi vikizuia watu kupita. Je, hii ni haki?
 
Back
Top Bottom