Jiji la New York lawaondoa walala mabarazani

Jiji la New York lawaondoa walala mabarazani

Kulanzeze.
Maneno yako ni kweli kabisa
Mkuu inasikitisha sana ingawa wengi hawaujui ukweli au ni washabiki tu wa mataifa makubwa
Waliopigana vita wengi wao walichukuliwa wakiwa hawana ajira za maana na matokeo yake waliporudi waliachwa wajitafutie riziki zao kwa njia zao
Na kesi nyingi bado zipo wakidai haki zao
Dunia hii Ina mengi sana watu wanatumika kama toilet paper
 
Duh si kweli kabisa, Wamarekani idadi yao ni ni mil 480,mamilionea wapo zaidi ya mil 2,idadi hiyo ya ma milionea mil 2 inameza jobless zaidi ya mil 25,watu wenye better life ni zaidi ya mil 400.
Jobless wanaolala nje hawafikii hata laki moja US yote, nao Tatizo lao si kwamba hakuna kazi Kama Bongo, bali soko la ajira haliwataki kutokana na criminality records zao
acha uongo wewe.. wote wanaolala nje marekani wana criminality records? inaonekana hujui kuhusu ubepari uliokomaa wewe.. kule pia kuna umasikini uliotopea ndio maana wizi, drugs, na ujambazi ni mkubwa
 
Back
Top Bottom