EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,278
- 20,900
Siku sikuelewi dadaPongezi ziende kwa uongozi wa awamu ya tano
Siku sikuelewi dadaPongezi ziende kwa uongozi wa awamu ya tano
sasa umejuaje kwamba marekani haikuwapa pensheni wastaafu wake?.
ama ulitaka hao wastaafu wapelekwa wakaishi ndani ya white house ndo ujue kwamba serikalini ya marekani inawajali wastaafu wake?.
hivi unazani marekani kuna ujanja ujanja wa kutowapa stahiki zao wastaafu kama ilivyotanganyika ambayo wadai mafao wanapigwa mabomu?.
sina hakika kwamba ili jambo uko lipo.
Nb 1:watu wasio na nidhamu ya pesa wapo duniani kote, inawezakuwa mafao yao walishapewa na pesa zao wakatumia zikaisha, sasa hapo unaikandiaje serikalini?.
Nb:2 kuna anko yangu alitoka mkoani kuja kufuatilia mafao yake, kama liza mwaka mzima yupo Dar, lakini kurudi Mkoni imetubidi kupitisha bakuli, anazungushwa tu usiku na mchana.
the way unavyo elezea madhira ya wastaafu wa Us wanavyoishi, ni kana kwamba serikali yao imewadhurumu mafao yao, lakini kumbe ulikuwa huna maana hiyo.Naona umeongea kwa jazba sana bila kupitia majala yao au kujisomea kwa undani kuhusu wapiganaji wa huku kama ni USA au UK
Wengi waliopigana huko wapo mitaani wanalala hovyo
Hii ndio naongelea
Unajua zaidi ya wastaafu 7000 uingereza wanaishi maisha magumu? Ya mtaani yaani homeless?
Sasa idadi hiyo kwa Marekani ni kubwa zaidi
Sio hawakupata stahiki zao bali wametelekezwa na mijadala inaendelea wapewe hata zile barracks ambazo kwa sasa hazitumiki
Wengine wamepatwa na PTSD na wanasota haswa
Hapa nilikuwa naandika kuhusu watu wa USA ila wewe ukanirudisha Kagera
Have a nice day
the way unavyo elezea madhira ya wastaafu wa Us wanavyoishi, ni kana kwamba serikali yao imewadhurumu mafao yao, lakini kumbe ulikuwa huna maana hiyo.
katika hali hiyo hiyo ndo imenifanya niulize hali ya maveteran wa Bongo hali ziko vipi?.
mi nikajua uku kwetu hali za maveteran zipo nzuri, serikalini inagharamika kuendesha maisha yao, jamb ambalo ni tofauti na Us, kumbe sio.
labda nikuulize kitu:, mbali na marekani kuwa msingi wa MADA iliyopo hapa ni kitu gani kingine kimekufanya uelezee kwa msisitizo zaidi hali wanayopitia maveteran wa Us?.
SawaAsante kwa kunielewa
Unajua kuchangia mada huwa mtu anaweka anachoelewa au kama ni kukumbuka kitu
Na hilo ndio likanipelekea kukumbuka homeless veterans
Ingawa sikwenda mbali sana na mada
Ila nimechangia tu
PTSD ni nin mkuuNaona umeongea kwa jazba sana bila kupitia majala yao au kujisomea kwa undani kuhusu wapiganaji wa huku kama ni USA au UK
Wengi waliopigana huko wapo mitaani wanalala hovyo
Hii ndio naongelea
Unajua zaidi ya wastaafu 7000 uingereza wanaishi maisha magumu? Ya mtaani yaani homeless?
Sasa idadi hiyo kwa Marekani ni kubwa zaidi
Sio hawakupata stahiki zao bali wametelekezwa na mijadala inaendelea wapewe hata zile barracks ambazo kwa sasa hazitumiki
Wengine wamepatwa na PTSD na wanasota haswa
Hapa nilikuwa naandika kuhusu watu wa USA ila wewe ukanirudisha Kagera
Have a nice day
PTSD ni nin mkuu
Duh si kweli kabisa, Wamarekani idadi yao ni ni mil 480,mamilionea wapo zaidi ya mil 2,idadi hiyo ya ma milionea mil 2 inameza jobless zaidi ya mil 25,watu wenye better life ni zaidi ya mil 400.Marekani ina idadi kubwa ya masikini ambayo ni sawa raia wa Tanzania.
Duh si kweli kabisa, Wamarekani idadi yao ni ni mil 480,mamilionea wapo zaidi ya mil 2,idadi hiyo ya ma milionea mil 2 inameza jobless zaidi ya mil 25,watu wenye better life ni zaidi ya mil 400.
Jobless wanaolala nje hawafikii hata laki moja US yote, nao Tatizo lao si kwamba hakuna kazi Kama Bongo, bali soko la ajira haliwataki kutokana na criminality records zao
hii chai kabisa hiiMarekani ina idadi kubwa ya masikini ambayo ni sawa raia wa Tanzania.
weka linkNinao ushahidi katika hili!
Kuna jamaa alikuwa anahojiwa akiwa homeless akasema ni veteran na hakuna wa kumjali
Yaani jamaa wametumika halafu wakaachwa wapambane
Halafu kibaya zaidi wengi wameathirika na kuuwa na chemicals zilizotumika
nimekupata so ukiwa na criminal record hata kubeba box unaweza ukakataliwa??Duh si kweli kabisa, Wamarekani idadi yao ni ni mil 480,mamilionea wapo zaidi ya mil 2,idadi hiyo ya ma milionea mil 2 inameza jobless zaidi ya mil 25,watu wenye better life ni zaidi ya mil 400.
Jobless wanaolala nje hawafikii hata laki moja US yote, nao Tatizo lao si kwamba hakuna kazi Kama Bongo, bali soko la ajira haliwataki kutokana na criminality records zao
hahaaaa lakini teja wa bongo ni tofauti na teja wa New YorkHao homeless vile vile wengi wao kando ya kuwa na criminal records wengine ni hardcore drug addicts.
hii chai kabisa hii
dogo inakuwaje? Ujatinga tu colombia na Brazil kuleta mzigo??nimekupata so ukiwa na criminal record hata kubeba box unaweza ukakataliwa??
Kabisa mkuu, finger prints zinawasoma Kama watu wasiofaa kupewa ajira kwa sababu zao za ukorofi, kupigana kazini, wizi kazini, na madawa ya kulevya, kwa hiyo huwa wanakosa la kufanya na kujikuta wanaishi mitaani, pamoja na yote kuna charities huwa bado zinawasaidia, tofauti na bongo ni kuzimu kabisa.nimekupata so ukiwa na criminal record hata kubeba box unaweza ukakataliwa??
shukraniKabisa mkuu, finger prints zinawasoma Kama watu wasiofaa kupewa ajira kwa sababu zao za ukorofi, kupigana kazini, wizi kazini, na madawa ya kulevya, kwa hiyo huwa wanakosa la kufanya na kujikuta wanaishi mitaani, pamoja na yote kuna charities huwa bado zinawasaidia, tofauti na bongo ni kuzimu kabisa.