Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
Mambo yote ni Arusha...Geneva of Africa..
mh? kuna sehemu inaitwa machinjioni wanajiuza bei chee tena huwezi wadhania na mchana ukiwatongoza wanachomoa pia...
Hakuna jiji kama Arusha....Kwasasa Arusha ni mji msafi sana..
arusha majungu,vurugu,maandamano.bangi,umalaya,mji mchafu,kamji kadogo,ujambazi,mfumuko wa bei,hakuna mji wa hovyo kama arusha hapa duniani.
arusha kama mbagala kibonde maji au uzombokoni.
Masikini inaelekea huijui Arusha wewe....Karibu Arusha uone the true maginificent ya mji.......Huu mji ni Ulaya ya Tz..
Ningeshangaa iwapo usinge comment kwenye hii thread! Teh teh tehMwanza ndio kila kitu, karibu tena jijini kwetu
Siku hizi barabara zinasafishwa usiku, asbh barabara zote safi
"7. STAREHE. mimi si mtu mtu wa viwanja sana,nikifikia hotelini tofauti na mishe mishe zangu mda wote nimelala".
Sasa hayo mambo umebainimuda ngapi wakati unasema wewe huna mishe mishe na muda wote unalala hotelini?
arusha ipi wewe? Wakabaji, majambazi, wavuta unga, bangi, huko ndiko majambazi sugu wa tanzania walipo, R.I.P Nyokaa
Starehe: Villa, Tunza Resort, New Mwanza Hotel,,,,kwa siku chache nilizowahi kuishi mwanza ndo vilikua viwanja vyangu ingawa kuna wadau wameniambia umetembelea viwanja common sana kasoro hicho tuu cha TUNZA RESORT....