Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
5.UMALAYA. Ukimtaka binti wa mwanza itakuchukua siku zaidi ya tatu(isipokua wanafunzi wa saut ,cbe,maliasili,wafanyakazi wa mabenki ambao hata ndani ya nusu saa tu ushamchukua),tofauti na wanawake wa Dar bila kujali ni mwanafunzi,mke wa mtu,mtoto wa geti nk ambao ukimtongoza asubuhi jioni unamtafuna.
Na wanaume wa Mwanza sio tongozatongoza kama mtoa mada ambae siku chache alizokaa mwanza kamaliza wanafunzi wa CBE, SAUT, wafanyakazi wa benki...tunamlaani kwa kuchangia kwake ongezeko la maambukizi
[/B][/COLOR]
Nitake radhi pls!
Nimekuepo mwanza kwa wiki moja hivi, nimebaini vitu vifuatavyo ambavyo vinalitofautisha jiji la mwanza na majiji mengine nchini kama Dar, Arusha, Mbeya na Tanga
1. USAFI. usafi kwa jiji la mwanza ni wa kuridhisha,katikati ya mji sio kuchafu sana ingawa maeneo yanayozunguka sokoni kuna uchafu kama ilivyo kwa majiji mengine
2. VIJANA. Vijana wa mwanza bado wanaishi maisha ya kawaida sana,hakuna usharobaro mkubwa kama vijana wa Dar,wanavaa kwa heshma na kawaida,sio km vijana wa dar wanaovaa mlegezo,nguo za kubana sana,
3. MADAWA YA KULEVYA. Utumiaji wa madawa ya kulevya sio mkubwa sana mwanza, vijana wengi ni wachapa kazi tofauti na dar ambapo vijana wengi ni mateja,hawafanyi kazi tofauti na kuoga na kuishi kwa ndugu zao na kilaum kila siku maisha magumu,ni tofauti pia na vijana wa arusha ambao wameathirika na uvutaji bangi na ulaji milungi.
4. WASICHANA(WARENBO). Mabinti wengi wa mwanza wanavaa kawaida,ni werembo wa asili,hawatumii mikologo sana kama dar,wanatembea na kufanya mazoezi,hawana vitambi km wanawake wa dar,ukipanda daladala utawakuta wengi wana sim za nokia au tecno,sio km dar utakuta watoto wa kike wana magalaxy na mikucha mirefu huku hawana kazi,mabibti wa mwanza wanapiga kazi.

6. USAFIRI NA FOLENI. Foleni sio ya kutisha,unafika unakoenda angalau kwa wakati tofauti na dar,pia usafiri upo wa kuridhisha,daladala nyingi zina ruti ndefu
7. STAREHE. mimi si mtu mtu wa viwanja sana,nikifikia hotelini tofauti na mishe mishe zangu mda wote nimelala
HITIMISHO. hHaya ni maoni yangu,unaweza kuweka yako au kusema wapi sikua sahihi lkn mwisho wa siku haya yatabaki kua maoni yangu.

ngoja aje atoe maelezo juu ya tuhuma hizi
Vipi hali ya wadada kujiuza,kule makoroboi ulifika?
tutake radhi wanawake wa darisalama kwanza..............

Kuhusu mabinti Wa SAUT. CBE. MALIASILI NA BANK Mi mbona Kila siku nagonga mwamba mkuu au approach zangu ndo sio.
Duh! Ngoja wenyewe waje...Mambo yote Mbeya. mwanamke kabla hata hajatongozwa chini kumeshaloa na gesti anakuonyesha na kuongoza mwenyewe