Jiji la Mwanza

Jiji la Mwanza

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,719
Nimekuepo mwanza kwa wiki moja hivi, nimebaini vitu vifuatavyo ambavyo vinalitofautisha jiji la mwanza na majiji mengine nchini kama Dar, Arusha, Mbeya na Tanga

1. USAFI. usafi kwa jiji la mwanza ni wa kuridhisha,katikati ya mji sio kuchafu sana ingawa maeneo yanayozunguka sokoni kuna uchafu kama ilivyo kwa majiji mengine

2. VIJANA. Vijana wa mwanza bado wanaishi maisha ya kawaida sana,hakuna usharobaro mkubwa kama vijana wa Dar,wanavaa kwa heshma na kawaida,sio km vijana wa dar wanaovaa mlegezo,nguo za kubana sana,

3. MADAWA YA KULEVYA. Utumiaji wa madawa ya kulevya sio mkubwa sana mwanza, vijana wengi ni wachapa kazi tofauti na dar ambapo vijana wengi ni mateja,hawafanyi kazi tofauti na kuoga na kuishi kwa ndugu zao na kilaum kila siku maisha magumu,ni tofauti pia na vijana wa arusha ambao wameathirika na uvutaji bangi na ulaji milungi.

4. WASICHANA(WARENBO). Mabinti wengi wa mwanza wanavaa kawaida,ni werembo wa asili,hawatumii mikologo sana kama dar,wanatembea na kufanya mazoezi,hawana vitambi km wanawake wa dar,ukipanda daladala utawakuta wengi wana sim za nokia au tecno,sio km dar utakuta watoto wa kike wana magalaxy na mikucha mirefu huku hawana kazi,mabibti wa mwanza wanapiga kazi.

5.UMALAYA. Ukimtaka binti wa mwanza itakuchukua siku zaidi ya tatu(isipokua wanafunzi wa saut ,cbe,maliasili,wafanyakazi wa mabenki ambao hata ndani ya nusu saa tu ushamchukua),tofauti na wanawake wa Dar bila kujali ni mwanafunzi,mke wa mtu,mtoto wa geti nk ambao ukimtongoza asubuhi jioni unamtafuna.

6. USAFIRI NA FOLENI. Foleni sio ya kutisha,unafika unakoenda angalau kwa wakati tofauti na dar,pia usafiri upo wa kuridhisha,daladala nyingi zina ruti ndefu

7. STAREHE. mimi si mtu mtu wa viwanja sana,nikifikia hotelini tofauti na mishe mishe zangu mda wote nimelala

HITIMISHO. hHaya ni maoni yangu,unaweza kuweka yako au kusema wapi sikua sahihi lkn mwisho wa siku haya yatabaki kua maoni yangu.
 
Na wanaume wa Mwanza sio tongozatongoza kama mtoa mada ambae siku chache alizokaa mwanza kamaliza wanafunzi wa CBE, SAUT, wafanyakazi wa benki...tunamlaani kwa kuchangia kwake ongezeko la maambukizi
 
Nitake radhi pls!
 
kweli huu ni utafiti au ulikuwa unashughulika,angalia utakufa nyama ni ile ile tofauti ni rangi za bucha tu,
 
Kitumbo naona hukumwelewa mtoa mada...katika upande wa starehe yeye haendi disco wala sehemu yoyote "outdoor" ...."nikifika hotelini tofauti na mishe mishe zangu mda wote nimelala" ...akimaanisha kwa wiki moja alikuwa na muda wa kutosha sana kutongoza na kutafuna kiasi cha kumwezesha kufanya "komparizon" ya mabinti wa pale pale mwanza wa kada tofauti... na kwa kuwa hajatuambia alikaa wiki moja kwa shughuli gani haswa "tuashum" kuwa alikuwa katika tafiti (study) maalum na hiyo ndio ripoti yake... hivyo tusimhukumu kuhusu maambukizi... hahaha
 
Nimekuepo mwanza kwa wiki moja hivi, nimebaini vitu vifuatavyo ambavyo vinalitofautisha jiji la mwanza na majiji mengine nchini kama Dar, Arusha, Mbeya na Tanga

1. USAFI. usafi kwa jiji la mwanza ni wa kuridhisha,katikati ya mji sio kuchafu sana ingawa maeneo yanayozunguka sokoni kuna uchafu kama ilivyo kwa majiji mengine

2. VIJANA. Vijana wa mwanza bado wanaishi maisha ya kawaida sana,hakuna usharobaro mkubwa kama vijana wa Dar,wanavaa kwa heshma na kawaida,sio km vijana wa dar wanaovaa mlegezo,nguo za kubana sana,

3. MADAWA YA KULEVYA. Utumiaji wa madawa ya kulevya sio mkubwa sana mwanza, vijana wengi ni wachapa kazi tofauti na dar ambapo vijana wengi ni mateja,hawafanyi kazi tofauti na kuoga na kuishi kwa ndugu zao na kilaum kila siku maisha magumu,ni tofauti pia na vijana wa arusha ambao wameathirika na uvutaji bangi na ulaji milungi.

4. WASICHANA(WARENBO). Mabinti wengi wa mwanza wanavaa kawaida,ni werembo wa asili,hawatumii mikologo sana kama dar,wanatembea na kufanya mazoezi,hawana vitambi km wanawake wa dar,ukipanda daladala utawakuta wengi wana sim za nokia au tecno,sio km dar utakuta watoto wa kike wana magalaxy na mikucha mirefu huku hawana kazi,mabibti wa mwanza wanapiga kazi.

5.UMALAYA. Ukimtaka binti wa mwanza itakuchukua siku zaidi ya tatu(isipokua wanafunzi wa saut ,cbe,maliasili,wafanyakazi wa mabenki ambao hata ndani ya nusu saa tu ushamchukua),tofauti na wanawake wa Dar bila kujali ni mwanafunzi,mke wa mtu,mtoto wa geti nk ambao ukimtongoza asubuhi jioni unamtafuna.

6. USAFIRI NA FOLENI. Foleni sio ya kutisha,unafika unakoenda angalau kwa wakati tofauti na dar,pia usafiri upo wa kuridhisha,daladala nyingi zina ruti ndefu

7. STAREHE. mimi si mtu mtu wa viwanja sana,nikifikia hotelini tofauti na mishe mishe zangu mda wote nimelala

HITIMISHO. hHaya ni maoni yangu,unaweza kuweka yako au kusema wapi sikua sahihi lkn mwisho wa siku haya yatabaki kua maoni yangu.

uko sahihi mkuu, karibu sana mkuu hapa ndio kwangu.
 
mambo yetu mwanza hayo.
 
Attachments

  • 1394034777308.jpg
    1394034777308.jpg
    61.7 KB · Views: 718
Na wanaume wa Mwanza sio tongozatongoza kama mtoa mada ambae siku chache alizokaa mwanza kamaliza wanafunzi wa CBE, SAUT, wafanyakazi wa benki...tunamlaani kwa kuchangia kwake ongezeko la maambukizi

ngoja aje atoe maelezo juu ya tuhuma hizi
 
Nimekuepo mwanza kwa wiki moja hivi, nimebaini vitu vifuatavyo ambavyo vinalitofautisha jiji la mwanza na majiji mengine nchini kama Dar, Arusha, Mbeya na Tanga

1. USAFI. usafi kwa jiji la mwanza ni wa kuridhisha,katikati ya mji sio kuchafu sana ingawa maeneo yanayozunguka sokoni kuna uchafu kama ilivyo kwa majiji mengine

2. VIJANA. Vijana wa mwanza bado wanaishi maisha ya kawaida sana,hakuna usharobaro mkubwa kama vijana wa Dar,wanavaa kwa heshma na kawaida,sio km vijana wa dar wanaovaa mlegezo,nguo za kubana sana,

3. MADAWA YA KULEVYA. Utumiaji wa madawa ya kulevya sio mkubwa sana mwanza, vijana wengi ni wachapa kazi tofauti na dar ambapo vijana wengi ni mateja,hawafanyi kazi tofauti na kuoga na kuishi kwa ndugu zao na kilaum kila siku maisha magumu,ni tofauti pia na vijana wa arusha ambao wameathirika na uvutaji bangi na ulaji milungi.

4. WASICHANA(WARENBO). Mabinti wengi wa mwanza wanavaa kawaida,ni werembo wa asili,hawatumii mikologo sana kama dar,wanatembea na kufanya mazoezi,hawana vitambi km wanawake wa dar,ukipanda daladala utawakuta wengi wana sim za nokia au tecno,sio km dar utakuta watoto wa kike wana magalaxy na mikucha mirefu huku hawana kazi,mabibti wa mwanza wanapiga kazi.

5.UMALAYA. Ukimtaka binti wa mwanza itakuchukua siku zaidi ya tatu(isipokua wanafunzi wa saut ,cbe,maliasili,wafanyakazi wa mabenki ambao hata ndani ya nusu saa tu ushamchukua),tofauti na wanawake wa Dar bila kujali ni mwanafunzi,mke wa mtu,mtoto wa geti nk ambao ukimtongoza asubuhi jioni unamtafuna.

6. USAFIRI NA FOLENI. Foleni sio ya kutisha,unafika unakoenda angalau kwa wakati tofauti na dar,pia usafiri upo wa kuridhisha,daladala nyingi zina ruti ndefu

7. STAREHE. mimi si mtu mtu wa viwanja sana,nikifikia hotelini tofauti na mishe mishe zangu mda wote nimelala

HITIMISHO. hHaya ni maoni yangu,unaweza kuweka yako au kusema wapi sikua sahihi lkn mwisho wa siku haya yatabaki kua maoni yangu.

Kuhusu mabinti Wa SAUT. CBE. MALIASILI NA BANK Mi mbona Kila siku nagonga mwamba mkuu au approach zangu ndo sio.
 
jaribu kubadili mbinu unaweza kuwapata,hao viumbe hawana fomula ya kuwapata,mbinu zangu zinaweza zisifanye kaz kwako,wasome na nenda nao taratibu.
 
Mambo yote Mbeya. mwanamke kabla hata hajatongozwa chini kumeshaloa na gesti anakuonyesha na kuongoza mwenyewe
 
Back
Top Bottom