Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

Kwa washamba wavaa shanga huko nani aweke makao makuu ya EAC? watu wengi kama zizini lakini maskini watupu ndo kuwe makao makuu? Mji umepauka uko na mandhari ya hovyo hivyo na maskini wamerundikana kwenye vilima vyenu vinatia kinyaa tuu
Baada ya kupigwa chini na Arusha na Dom saizi kisingizio ni eti serikali,mbona kuna miradi mingi sana ya serikali huko hamsemi?
Ayeeee
MwanzaView attachment 1497661
tapatalk_1593884680837.jpeg
tapatalk_1593884290325.jpeg
tapatalk_1593884488303.jpeg
tapatalk_1593884369909.jpeg
 
Kwa washamba wavaa shanga huko nani aweke makao makuu ya EAC? watu wengi kama zizini lakini maskini watupu ndo kuwe makao makuu? Mji umepauka uko na mandhari ya hovyo hivyo na maskini wamerundikana kwenye vilima vyenu vinatia kinyaa tuu
Baada ya kupigwa chini na Arusha na Dom saizi kisingizio ni eti serikali,mbona kuna miradi mingi sana ya serikali huko hamsemi?
10 km from city centre mwanza
tapatalk_1593884596379.jpeg
tapatalk_1593884602901.jpeg
tapatalk_1593884594190.jpeg
tapatalk_1593884598634.jpeg
tapatalk_1593884591861.jpeg
 
Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Anasema mji wa mwanza umejaa maskini.

Mji uko nyumba kali
tapatalk_1593884663410.jpeg
tapatalk_1593884665935.jpeg
 
Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
The city of mwanza
tapatalk_1593884415840.jpeg
tapatalk_1593884407990.jpeg
 
Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Look at the biggest mall in tz found in mwanza.
tapatalk_1593884398762.jpeg
 
Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Mwanza south port in igogo biggest port in lake region
tapatalk_1593884668479.jpeg
tapatalk_1593884670925.jpeg
 
Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Nani kasema mwanza hakuna villas?
tapatalk_1593884330111.jpeg
 
Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
Look at kirumba .NB 4km from city centre
tapatalk_1593884380999.jpeg
 
Mwanza ipi ambayo siifahamu mimi wakati nilikuwa tuitor wa chuo cha Uhandisi hapo Misungwi CDTTI kwa muda wa miaka 3 nikaona michosho nikasepa,nimetoka huko 2016,kila mwaka nakuja huko niliacha mbegu.Mwanza imejaa maskini na washamba huto tu picha twa hapo city centre hatujawahi nibabaisha mkuu..Tzn hii hakuna pa kunidanganya
We have two cities in tz Dar and mwanza vingine utopolo tu
tapatalk_1593884277880.jpeg
tapatalk_1593884280141.jpeg
tapatalk_1593884190583.jpeg
tapatalk_1593884192914.jpeg
tapatalk_1593884231671.jpeg
tapatalk_1593884240525.jpeg
tapatalk_1593884190583.jpeg
 
Case closed,Mwanza ipo juu.
nimefatilia mjadala kwa umakini mkubwa nimegundua points za ubora wa uchumi,miundo mbinu,mzunguko mkubwa kwa majiji haya mawili,Mwanza imemkalisha Chuga 1fs round kwa K.O.
Arusha pamoja na kusaidiwa na watu wa Mbeya na Dar wameshindwa kuleta fact za maana kuitetea Chuga.
haiwzekani kamwe kumlinganisha Tembo na Chura.
 
Ubishi closed
 
Yaaasss, mpaka apatikane wa mwisho, mpaka sasa tunajua 1. DSM, 2. ROCK city. Mbeya akimalizana na Arusha tunampambanisha na SHINYANGA :D :D :D
mtu mfupi haamin macho yake yan 😆😆😆 ana chuki binafis na kanda ya ziwa ,kakadhania umaskin umaskn wakat ndo hali halisi ya watz kote nchin
 
Back
Top Bottom