Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,479
- 20,264
Acha ukiazi wewe, mimi nimesena serikali iwape ajira wahitimu wote? Kwanza hao machinga asilimia kubwa sio wahitimuHakuna nchi yoyote duniani inayoweza kuwapa kazi wahitimu wote. Muwe mnatumia na akili kidogo mnapojibu hoja.
Ajira nyingi zinatolewa na sekta binafsi ambayo kukua ama kudumaa kwake kunategemea sera za serikali