Jiji la Mbeya kama kijiji


Sasa wewe si katake advantage maana una akili zaidi ya hao unao wadharau,umetokea mkoa wa wenye akili! poor Tanzanian!
 

Mimi nafikiri Arusha inajulikana kimataifa zaidi ya Miji yote Tanzania....DAhh...ninabahati kuzaliwa Arusha..
 

Umeongea kwa uchungu sana..
 
Mwanza gani unayoisema? hata Arusha ninayojua! Ndiyo maana tunadharauliwa na nchi za jirani! hivi ni wapi Tanzania hii ambapo mtu anaweza kuwacheka sehemu nyingin ya Tz,hebu acheni kuleta ujinga wenu hapa.
Tanga na Dodoma imepangika vizuri sana
 
The hammer,

Kaka nimesoma post yako nikisubiri uniambie, ulikabwa, ulikutana na hirizi zimetupwa, mabinti wavaa nusu uchi, mayai viza njia ya panda, ujambazi, gharama za maisha, ulipishana na manyau nyau anasaka wachawi, vibao vya waganga kila baada ya hatua moja....... Unataka mbeya wafyeke misitu kama hapa dar?
 
Mh, mi kwetu kijijini bora nikae kmya niwasikilize wenye miji
 
Tanga na Dodoma imepangika vizuri sana

Hivi wewe hiyo mikoa umeishi! au unapitagapitaga tu. nimekaa tanga miaka 2 nimekaa Dodoma mwaka mzima usijaribu kulinganisha na Mbeya hata kidogo. Kwanza Dodoma mimi huwa naumwa nikikaa kule.
 

Sijazungumzia kuhusu UCHAWI kwenye comment yangu japo upo sana,nilichosema haufanani na mingine niliyoitaja,mbeya mji wake umepangika hovyo sana,nyumba nyingi ni duni hata katikati ya mji na vumbi amboyo ndo kero sana ya mji wa mbeya na vumbi yake kama unga wa ngano.
 
House arrangement, barabara, usafiri( private nd public), hotels( sehemu za kulala), sehemu za kula (restaurants), mpangilio wa mitaa, sehemu za kufanya shopping, hivyo vitu kwa mimi binafsi vinaiondolea mbeya hadhi ya kuitwa jiji,
 
......... sasa hapa kati nilipata safari ya mbeya nikakwepa fastjet ile kutua kwa kweli uwanja wa songwe ni mzuri kiasi (pengine kwa sababu ya upya) sasa tukapanda shuttle kwenda mjini 10,000/= (bei ya kulangua) ............................

Wewe unaonekana lofa mmoja hivi hata labda ndio safari yako ya kwanza kwa ndege (fastjet ya bei chee) nje ya huko dar.
Hebu, tuambie, bei ya shuttle ulitaka iwe buku moja??
Kuna viroja sijawahi ona.

Pia ungetumia lugha ya kistaarabu mbona watu wangekuelewa tuu, matusi na kashfa za nini?
 
hahaaa nimecheka sana jamani....amepanic huyu????
 
Halafu tabia ambayo inanichukiza ni kule kutofua makoti na masweta hata kwa zaidi ya mwaka shame
 

acha ujinga.kwani ili mji uitwe jiji kigezo ni MAJENGO?pia mbeya ni sehemu ambayo huwezi jenga ghorofa zaidi ya sita..na baridi la kule linapelekea watu kutopendelea kushinda mahotelini ..hakuna idadi kubwa ya machangu na starehe kutokana na mazingira .mwisho si kila jiji lifanane na hapa dar ngugu
pole sana..na nazani bei ya tax tu ulibargain sijui kama uliweza kuzunguka na tax sehamu zote hizo usiku..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…