Kituo cha Usa river ni kama mali ya polisi na wakiamua kukuminya wanakuminya wapendavyo hata mbele ya bosi wao.
Hakuna haki wala hawakuambii kosa fulani sheria inasemaje wala hakuna cha onyo.....eti afande adhabu yake mwandikie elfu sitini na asikupotezee muda akitaka aende anakojua atapata haki.....
Hapa Usa River yupo polisi aitwaye ALLAN/ALLEN mwizi mla rushwa shetani mgandamizaji, yanii ni vurugu tupu wapo na wenziwe ila majina yananitoka, natamani na sisi tungekuwa na magereza ya kuwaweka maana wao ni miungu watu phuuuu takataka usa river.
Tumekata tamaa tunajuta kuzaliwa Tanzania pasipo na haki serikali inashindwa kuwasimamia watendaji wake ambao ni polisi, ccm inashindwa kuondoa dhuluma, hakuna elimu ya uraia kwamba polisi unapaswa umhoji kitu gani........