Ni juavyo mimi barabara ambayo ikombiyoni kujengwa ni ile ya EAC itakayopita kule kisongo, jalalani, njiro..........Habari za kuaminika ni kuwa barabara zote za ndani ya jiji la arusha na zinazoingia na kutoka ndani ya jiji zinatarajiwa kuwekwa lami zote.
Tayari mikataba ya kujenga barabara imeshasainiwa na kazi itaanza mwezi novemba mwaka huu. Tuombe wasije wakatokea chakachuzi wakaharibu kazi hii nzuri.
kweli kabisa mkuu.......Mkuu,
Ungekuwa more specific ungetusaidia wakazi wa hapa! Ninavyoifahamu Arusha, karibu barabara zote za kuingia mjini zina lami tayari. Barabara za kutoka Moshi, Dodoma, Nairobi, Moshono, Mbauda, Njiro zote zina lami. Sijui mkataba unaouzungumzia ni wa barabara zipi. Au ni za sombetini, ungaltd, Ilboru, Majengo? Jaribu kuzipoint out ili tusherehekee vzuri!
Barabara ipi ya majengo ya Tanapa mpaka barabara ya Nairobi au Majengo ya chini mpaka Nairobi RdBarabara zinazo jengwa ni majengo,na zilizo katikati ya mji ndizo ninzo fahamu na tena majengo wamesha lipwa wenye nyumba zilizo karibu na brbr
Barabara ipi ya majengo ya Tanapa mpaka barabara ya Nairobi au Majengo ya chini mpaka Nairobi Rd
Uko sawa barabara hiyo itapita Ngaramtoni ya juu mpaka Njiro lakini hata hizi za ndani nazo zimo katika programe hiyo ya kuwekwa lami. Hivi CrashWise Arusha hakuna barabara za maana kabisa na hiyo ni programe ambayo ni lazima itekelezwe ili Arusha liwe jiji, moja ya sababu ya kuvuliwa ni hiyo ya barabara.Ni juavyo mimi barabara ambayo ikombiyoni kujengwa ni ile ya EAC itakayopita kule kisongo, jalalani, njiro..........
Habari za kuaminika ni kuwa barabara zote za ndani ya jiji la arusha na zinazoingia na kutoka ndani ya jiji zinatarajiwa kuwekwa lami zote.
Tayari mikataba ya kujenga barabara imeshasainiwa na kazi itaanza mwezi novemba mwaka huu. Tuombe wasije wakatokea chakachuzi wakaharibu kazi hii nzuri.
Na kweli hii ikitengenezwa foleni itapungua kidogo uhuru road.Mkuu ni ile ya kuanzia majengo ya chini mpaka nairobi road,na tayari kila kitu kinachosubiriwa ni ujenzi kuanza,
Safi sana,na itazidi kuwa ngome yetu CHADEMA
Kwa kweli wana Arusha hawatajuta kumchagua Lema kuwa mbunge wao